Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

yap, pia nimepitia kwenye mikono ya Sansa, Makulilo, Bashiru Ally, Audax Kweyamba, dr Rev Mogela, prof Munishi, Dr Benson Bana, Rwekaza Mukandala nk. unamkumbuka DR LYMO wa AS?
hahahaha Research Methodologies? Alikuwa ananifurahisha sana...Pale Nkrumah alikuwa hataki watu wakae kule juu
 
Wa sasa,
LINGUISTICS
1. Prof.Josephat M. Rugemalira.
2. Prof. H.T. Muzale.
3. Dr. Keya.
 
Ni huyo huyo mkuu. Mimi alinifundisha Literature. R.I.P Dr. Massele

okey kama unamuongelea huyo bas ni marehem kama nilivokuambia..ni mlezi wangu huyo..alifariki kwa ugonjwa wa kuishiwa damu....ni dr mahiri sana..wakali wengine waliobaki kwenye dept yao ni prof muzale na dr korogoto
 
okey kama unamuongelea huyo bas ni marehem kama nilivokuambia..ni mlezi wangu huyo..alifariki kwa ugonjwa wa kuishiwa damu....ni dr mahiri sana..wakali wengine waliobaki kwenye dept yao ni prof muzale na dr korogoto
Wengine ninaowakumbuka ni Dr. Lilian Osaki, Dr. Mwaifuge na K. Emmanuel na dada mmoja wa Kinyakyusa akifundisha Oral Literature. Sijui kama wote wapo
 
Ebu nisaidieni prof Idris Kikula ambaye ni vice chancellor wa Udom kwa sasa alikuwa anafundisha masomo gani hapo Udsm.
 
Hao wengi walikuwa nyuma yetu na wengine ma-TA. Somebody give me the true list of 80's Profs.
 
Sio wote waliopitia PSPA walifundishwa na Dr. Bruce Heinman. Labda wale wa upande wa International Relations

kwa tuliosoma PSPA 2009-2012 Dr Bruce Helman alikuwa hakwepeki. alitufundisha International Relations I tukiwa second year then akatufundisha Human Rights Theory and Practice tukiwa third year
 
Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu na wengine kuacha kazi na kuingia katika siasa hasa ubunge. Leo nimewakumbuka nikawafananisha na timu ya Barcelona wakali hao. Huenda wengine wamefariki halafu sijui kama wajua saidia kuweka RIP na ongeza wengine unaowakumbuka. Sijui sasa hivi hali ikoje kwa upande wa ubora ukilinganisha na wakali hawa
1. Prof. Mathew Luhanga - Vice Chancelor
2. Prof. Mayunga Nkunya
3. Prof John Mshana
4. Prof. Mutabaji
5. Prof. Idris Kikula
6. Prof. Rwekaza Mukandala - Sasa ndiye Vice - Chancelor
7. Prof. Haroub Othmani -R.I.P.
8. Dr. Sengodo Mvungi - R.I.P
9. Prof. Issa Shivji
10. Prof. M. M. Mulokozi
11. Dr. Ndibalema
12. Dr. Hamza Njozi
13. Prof Josephati Maghway
14. Prof. Ishumi
15. Prof. Galabawa
16. Prof. Chachage - R.I.P
17. Dr. A Rwaitama
18. Prof. P. Mlama
19. Dr. Joyce Ndalichako
20. Prof. H. Mwansoko
21. Dr. Mreta
22. Dr. Kadeghe
23. Prof. Omary
24. Dr. B. Massele
Hawa ni baadhi tu ya wakali wa wakati huo baadhi yao bado wapo. Heshima zao sana.

Namba 7,Prof Haroub alifarik akiwa ndo course coordinator wa kozi alokua akitufundisha pale IDS, Nakumbuka alitoa timed test,weekend ndo akafariki,some body Dick Mulungu ndo aliimalizia ile course(Governance and Civil Society) Allah ampumzishe kwa amani
 
Prof Omary na Dr.Ndibalema nawakumbuka hawa wazee wa Faculty of Education(now school of Ed)
 
kwa tuliosoma PSPA 2009-2012 Dr Bruce Helman alikuwa hakwepeki. alitufundisha International Relations I tukiwa second year then akatufundisha Human Rights Theory and Practice tukiwa third year

Niliopt PS 110 ya Bruce mwaka 2007 akiwa na Dr.Makulilo (wakat huo seminar leader) siku nilipoona nna course work sikuamini
 
Tambila huyu daah....huyu mzee darasa let haliwez kumsahau. Alitaka kutufanya kitu mbaya tukiwa mwaka wa mwisho
Cc#mkoroshokigoli

Wallah nimecheka sana xiexie Tambila na HI 360.
"If u answer like a form 6 I'll give u zero" nakumbuka hiyo ilikua UE YA SEMEATER YA 6 pale ARC
 
Last edited by a moderator:
Prof William Makene R.I.P
Prof Basinda R.I.P
Prof Gabriel Mwaluko R.I.P
Prof Raphael Lema P.I.P
Prof James Shaba
Prof Zul.Premji
Prof Mandara
Prof Samwel Maselle
Prof Idd Mbaga
Prof Charles Kihamia
Prof Fred Mhalu
Prof Abel Msengi R.I.P
Prof Lwiza R.I.P..

Copper huyu Lwiza alikuwa ni mama pale MUCHS jina la kwanza Anna?
 
1.Prof. Fredrick Kaijage
2.Prof. Isaria Kimambo
3.Prof. Kapepwa Tambila
4.Prof. Y.Q. Lawi
5.Prof. Nesta Luanda
6.Prof. Betram Mapunda
7.Prof. Abdul Sheriff
8.Prof. John Iliffe
9.Prof. Terence Ranger
10.Prof. Jacques Depelchin

Soma picha mwenyewe ujue naongelea mtandao gani. Course work mnaenda mda wa ziada (dakika 120) na usishangae kupatika kwa matuta.
Hist Dept hii,
 
Back
Top Bottom