Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa


Haa!

Basi kwangu hata wewe ni wa juzi tu.

Sijaona yeyote aliyemtaja Arnold Temu, Bonaventure Swai, Josephat Mbwiliza wala Isaria Kimambo.

Achilia mbali Vice Chancellor Nicholas Kuhanga.
 
Haa!

Basi kwangu hata wewe ni wa juzi tu.

Sijaona yeyote aliyemtaja Arnold Temu, Bonaventure Swai, Josephat Mbwiliza wala Isaria Kimambo.

Achilia mbali Vice Chancellor Nicholas Kuhanga.

Mkuu ulikuwa una mmanya Prof Japhet Nanyaro ambaye alikuwa Prof wa kwanza Mtanzania kwenye Dept. ya Geology?
 
Prof. D.Mkude, Prof. I.Lipumba,Prof. G.G.Munishi, Dr. M.G.Bilal (Nuclear Physician).
 
Prof. A.Semesi (R.I

Prof. A. Semesi (R.I.P), Prof. R.Massenge, Prof. R. Mwalyosi, Prof. Mgongo-Fimbo.
 
Klansen -waliosoma hesabu wanamjua huyu na fujo zake, prof Mruma na huyu Dean mbona mmemsahau Maboko
 
Dr Mdachi
Dr Philip
Dr Lugwisha
(Wote hawa chem dept)
 
niliwahi kusikia kuna Prof chande othman chande sasa sijui kama anaundugu na jaji mkuu chande othman chande.
 
Profesa mwajabu possi
Dr. Kapoli-rip
Prof. Gondwe-rip
Prof. Cuthbert omari - rip
Prof. Kiondo-rip
 
Prof Nyahumwa enzi akiwa Dr Engineers wengi hawatamsahau kwa jinsi alivyokuwa anawakamata kwenye Strength of Material ME 101

hivi ni kweli mmemsahau dk osoro kwa Sasa ni prof pia kuna MTU mmoja wa statistics huyu anaitwa ngowi ana mkwara lakini anahuruma sana
 
prof Dr Mayo (coet)
Dr kakiko
Dr masaoe
Dr Nyaoro
Dr mrema,
Prof Rubaratuka
Dr Makunza
haya no baadhi ya majembe ya Foe (Coet)
 
Hii mada yako inatusaidia nn?kama mmewamiss mngeenda kuandaa anniversary nkurumah mkawaalika na kuwakumbuka waliotangulia.hzi ni story za kupiga vijiwen na masela wenzenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…