Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Dr. Chungu tajiri wa CoET kafa majuzi-R. I. P
 
Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu na wengine kuacha kazi na kuingia katika siasa hasa ubunge. Leo nimewakumbuka nikawafananisha na timu ya Barcelona wakali hao. Huenda wengine wamefariki halafu sijui kama wajua saidia kuweka RIP na ongeza wengine unaowakumbuka. Sijui sasa hivi hali ikoje kwa upande wa ubora ukilinganisha na wakali hawa
1. Prof. Mathew Luhanga - Vice Chancelor
2. Prof. Mayunga Nkunya
3. Prof John Mshana
4. Prof. Mutabaji
5. Prof. Idris Kikula
6. Prof. Rwekaza Mukandala - Sasa ndiye Vice - Chancelor
7. Prof. Haroub Othmani -R.I.P.
8. Dr. Sengodo Mvungi - R.I.P
9. Prof. Issa Shivji
10. Prof. M. M. Mulokozi
11. Dr. Ndibalema
12. Dr. Hamza Njozi
13. Prof Josephati Maghway
14. Prof. Ishumi
15. Prof. Galabawa
16. Prof. Chachage - R.I.P
17. Dr. A Rwaitama
18. Prof. P. Mlama
19. Dr. Joyce Ndalichako
20. Prof. H. Mwansoko
21. Dr. Mreta
22. Dr. Kadeghe
23. Prof. Omary
24. Dr. B. Massele
Hawa ni baadhi tu ya wakali wa wakati huo baadhi yao bado wapo. Heshima zao sana.
Hamza Njozi ni prof kwa sasa
 
1.dr kessy (political science)

2.prof. Kezilahabi
3.prof.tambila
4.prof.ruanda
5.prof.senkoro
6.prof.kilian
7.prof.mkangara
8.prof. Kassim gululi (rip) etc
 
1.dr kessy (political science)

2.prof. Kezilahabi
3.prof.tambila
4.prof.ruanda
5.prof.senkoro
6.prof.kilian
7.prof.mkangara
8.prof. Kassim gululi (rip) etc

Tambila huyu daah....huyu mzee darasa let haliwez kumsahau. Alitaka kutufanya kitu mbaya tukiwa mwaka wa mwisho
Cc#mkoroshokigoli
 
Prof. Kivaisi- Phy, Prof. Shayo- Maths, Prof. Ndaalio- Chem, Dr. Shija ( nadhani alikwishakuwa Prof.)- Phy, Prof.Sembuche- Maths, Prof. Shao DS,of. Prof. Malekela- Eduation, Dr. Biswalo. , Dr. Bilal- Phy . Jamani wengine wametngulia mbele ya haki R.I.P
 
Tusiwasahau wakongwe kama:
Prof. Dani Wadada Nabudere - Dpt. of Pol. Sc., c. 1963..? (Ugandan) - RIP
Prof. Goran Hyden - Dpt of Pol. Sc., c. 1975 ...? (Swedish)
Prof. Yash Tandon - Dpt. of Pol. Sc., c. 1973 ...? (Ugandan)
Prof Nathan Shamuyayira - Dpt. of Pol. Sc., 1968 -1977 (Zimbabwean) RIP
Prof. Walter Rodney - Dpt of Pol. Sc. or Hist., 1966 - 6 (Guyanese)
Prof. Horace Campbell - Dpt of Pol. Sc. 19...? (Jamaican)
Prof. Mahmood Mamdani - Dpt of Pol. Sc. 1973 - 79 (Ugandan)


Kama kuna wengine, waongezeeni ....

Du! Hawa wote walikuwa wanatajwa tu kwenye Lecture za Profesa Rwekaza Mukandala na Profesa Max Mmuya na tulifanya baadhi ya review ya vitabu vyao.
 
1. Professor Peter Kopoka
2. Professor Baradyana
3. Dr Ami
4. Dr Urassa
5. Dr Tumsifu
6. Dr Ester Matiko
 
Pamoja na sifa lukuki na kazi kubwa walizozifanya kitaifa na kimataifa,je itakuwa sikuwatendea haki kama nikisema hawakutufanyia vizuri,kama wangefanya vizuri leo hatungekuwa ktk huu mkorogano wa katiba..kadhi na mahakama...maandamano....siasa maji taka.....bunge la mipasho na ndiyooooo
 
1. Professor Peter Kopoka
2. Professor Baradyana
3. Dr Ami
4. Dr Urassa
5. Dr Tumsifu
6. Dr Ester Matiko
oooh kumbe ameshakuwa prof.wakati ananifundisha DS alikuwa dr.,heshima yake huyo mzee.alinijengea uwezo mzuri sana wa kuelewa maswala ya kimaendeleo duniani.
 
Professor Mtatifikolo
Professor Ibrahim Juma
Professor Hassan Mlawa
Professor Ayoub Ryoba
Professor Bashiru Ally
Professor Benson Bana
Professor Nkonoki RIP
Professor Kapunda
 
Kuna Maprofesor na Ma doctor wa Muhimbili University ambao nao ni wakali balaa
1. Prof. Leshabar
2. Prof. Kileo
3. Prof. Mujinja
4. Dr. Kazaura (mzee wa Bio statistics)
5. Dr. Moshiro
6. Dr. Mpembeni
7. Prof. Kiwara (mzee wa Policy)
8. Prof. Mnyika
9. Prof. Simba
Mnaweza kuendelea kuwataja wengine, Lakini hawa wanatisha kwenye maeneo yao.
 
Back
Top Bottom