JIKUMBUSHE (VIDEO): Tundu Lissu akisambaratisha hoja za watetezi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar usio na ridhaa ya wananchi

..Magu alikuwa tapeli wa kisiasa.

..uliwahi kumsikia akitetea wanyonge au madini kabla hajawa raisi?

..miaka yote hiyo alikuwa mlamba asali ktk awamu ya Mkapa alipouza nyumba za serikali, na ktk awamu ya Kikwete aliponunua kivuko kibovu Mv Bagamoyo.
Lisu Alimpa dadaye Ubunge

Aliwachaji Chadema mamilioni ya shilingi kwenye Kesi

Sasa analamba asali
 
..Magu alikuwa tapeli wa kisiasa.

..uliwahi kumsikia akitetea wanyonge au madini kabla hajawa raisi?

..miaka yote hiyo alikuwa mlamba asali ktk awamu ya Mkapa alipouza nyumba za serikali, na ktk awamu ya Kikwete aliponunua kivuko kibovu Mv Bagamoyo.
Ni hivi JPM hana historia yoyote ya kutetea Wanyonge, ni Tapeli lakini kubwa zaidi ni Katili
Kutoa amri mtu atolewe roho mchana tena akitangaza katika TV ni roho ya ajabu sana
Dhulma kwa wafanyabiashara, kubambikizia kesi na kutafuta plea bargain ni unyama mkubwa
Kuwapa watu mitishamba ya Madagascar isiyo na ithbati na kukataa chanjo ni ukatili sana
 
..Magu alikuwa tapeli wa kisiasa.

..uliwahi kumsikia akitetea wanyonge au madini kabla hajawa raisi?

..miaka yote hiyo alikuwa mlamba asali ktk awamu ya Mkapa alipouza nyumba za serikali, na ktk awamu ya Kikwete aliponunua kivuko kibovu Mv Bagamoyo.
Nawashangaa watu waliomwamini
 
Naunga mkono hoja na hili hata mimi nalitambua na niliisha m profile humu
  1. Mifano ni hii Vurugu za Bungeni: Mhe.Tundu Lissu, Anastahili Adhabu Kali?!. Ni Mtundu Toka Shule!.
  2. Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu!, Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!.
  3. Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
  4. Unamjua aliyemshauri Lissu agombee urais?. Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
  5. Je ulijua Tundu Lissu alisita kurejea nchini hadi ahakikishiwe usalama wake?, unajua kina nani walimshauri arejee hivyo hivyo hata bila kuhakikishiwa usalama wake? Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
  6. Lissu is very good kwa kujenga hoja ila pia ni binadamu na sio malaika, anaweza kukosea, mfano kwenye hili Lissu aliwaingiza chaka Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!
  7. Hakuna mtu anayefanikiwa peke yake, ukiona mtu kafanikiwa kwenye jambo fulani ujue kuna watu wamemsaidia alipaswa kuwashukuru Nyaraka za Muungano: Tundu Lissu kutoishukuru JF na Pasco maana yake nini?
Ukilinganisha vitu, linganisha vitu vinavyofanana, watu wanaofanana, usilinganisha mbingu na nchi au jua na mwezi!.
P
TL ni level ya JPm lakini pia tukubali TL ni zaidi ya JPM kwa mambo mengi.
 
Asante brother kwa kumwaga kumbukumbu..

I appreciate your contribution...

I agree, kwamba, Tundu Lissu is very knowledgeable because he's a man of books & researches...

But, the other fact is that, he's a human being....

Lakini pia ni ukweli kwamba, ubinadamu na makosa yake hayawezi kuwa sawa na ya Zito Kabwe...!

Thanks again
 
TL ni level ya JPm lakini pia tukubali TL ni zaidi ya JPM kwa mambo mengi.
Naunga mkono hoja, hili nimelisema hapa Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Wanabodi,

tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana uwezo wa kumkabili Magufuli kwa vile uwezo wake ni zaidi ya Magufuli?

Kwa jinsi nilivyomsikia Tundu Lissu na namna anavyoongea, then huyu Tundu Lissu ni typical yuko kama Magufuli type tena yeye ni zaidi ya Magufuli!.

Hivyo kwa vile Tundu Lissu ambaye ni zaidi ya Magufuli, akisimama na Magufuli, you can never tell what will happen!, Magufuli naweza akaachwa mbali sana! , ila litabaki swali moja tu dogo, with reference ya kilichotokea Zanzibar, hata huku bara, je ikitokea kweli Chadema ikamsimamisha Tundu Lissu na ikatokea Tundu Lissu akishinda, jee atapewa?.

NB. Sijasema Lissu ni zaidi ya Magufuli kwenye nini, na nawaomba sana msiniulize!.

Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
P
 
..Magu alikuwa tapeli wa kisiasa.

..uliwahi kumsikia akitetea wanyonge au madini kabla hajawa raisi?

..miaka yote hiyo alikuwa mlamba asali ktk awamu ya Mkapa alipouza nyumba za serikali, na ktk awamu ya Kikwete aliponunua kivuko kibovu Mv Bagamoyo.
Mkuu JokaKuu , please let this man of God rest in peace!. Saa hizi tayari yuko peponi, mbinguni kwa Baba yake na yuko na Baba yake, Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani huku kuendelea kumsema kwa ubaya kutwa kucha, hakutusaidii unless kama ni kumtumia kama shamba darasa kwa Sa100!.
P
 
View attachment 2404531
Anaanza kwa kukaribishwa na "Hangayq" kwa sauti nyororo ya Kizanzibari...

Lakini all in all, nasema..;

Huyu jamaa ni mtukutu sana. Anapiga nyundo sadistically kiasi cha kukera sana...!

Lakini on the other hand huyu jamaa ni jasiri sana vile vile...

Anaweza kufanya jambo ambalo wengine wote mnaweza kugwaya kulifanya...

Huyu jamaa ni msomi kwelikweli na ni mzalendo kwelikweli.

Huyu jamaa hana longo longo, haogopi kumchana chana yeyote kwa hoja mpaka utainamisha kichwa chini kwa aibu.

Kwenye picha ya video hii nawaona wana CCM nyundo zikiingia sawasawa kiasi cha kuona aibu wenyewe hata kuinamisha vichwa vyao chini....

We miss you Tundu Lissu...!!
Ipo siku atakuja kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii
 
Back
Top Bottom