JIKUMBUSHE (VIDEO): Tundu Lissu akisambaratisha hoja za watetezi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar usio na ridhaa ya wananchi

Lisu Alimpa dadaye Ubunge

Aliwachaji Chadema mamilioni ya shilingi kwenye Kesi

Sasa analamba asali
 
Ni hivi JPM hana historia yoyote ya kutetea Wanyonge, ni Tapeli lakini kubwa zaidi ni Katili
Kutoa amri mtu atolewe roho mchana tena akitangaza katika TV ni roho ya ajabu sana
Dhulma kwa wafanyabiashara, kubambikizia kesi na kutafuta plea bargain ni unyama mkubwa
Kuwapa watu mitishamba ya Madagascar isiyo na ithbati na kukataa chanjo ni ukatili sana
 
Nawashangaa watu waliomwamini
 
TL ni level ya JPm lakini pia tukubali TL ni zaidi ya JPM kwa mambo mengi.
 
Asante brother kwa kumwaga kumbukumbu..

I appreciate your contribution...

I agree, kwamba, Tundu Lissu is very knowledgeable because he's a man of books & researches...

But, the other fact is that, he's a human being....

Lakini pia ni ukweli kwamba, ubinadamu na makosa yake hayawezi kuwa sawa na ya Zito Kabwe...!

Thanks again
 
TL ni level ya JPm lakini pia tukubali TL ni zaidi ya JPM kwa mambo mengi.
Naunga mkono hoja, hili nimelisema hapa Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
P
 
Mkuu JokaKuu , please let this man of God rest in peace!. Saa hizi tayari yuko peponi, mbinguni kwa Baba yake na yuko na Baba yake, Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani huku kuendelea kumsema kwa ubaya kutwa kucha, hakutusaidii unless kama ni kumtumia kama shamba darasa kwa Sa100!.
P
 
Ipo siku atakuja kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…