Simon Kaboja
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 165
- 117
- Thread starter
-
- #101
Ina uwezo mkubwa Wa kutunza chaji, pia ni rechargeable deviceHahahah uzuri wa hio kitu ule mshituko wake hata hamu ya ngumi au kukaba anakuwa hana tena maana shoti husisimua neva zote za mwili na kutikisa mapigo ya moyo! Hawezi kuwa na nguvu we imagine ukishikaga switch na maji tu ama naked electric wires hata kwenye pasi jinsi inavyokuwa noma japo ni sekunde moja tu!
Nachoona inahitaji ujasiri kumfikia tu hasa kama ana silaha,tabu ni pale umemu attack kipande cha baba kama Scorpion wa Buguruni af ghafla kidude kimekata moto he he apo ndipo utapojua kuwa hata mbugani kuna timu ya simba japo haina kocha!
heri wa chupa ya chai mm wayoyo wammtaaani wanayesaje hadi nimeiconnect mida ya mchana kama niko hmHiyo safi sana.. ameipata wapi na kwa Tsh ngapi? Inakera sana una acha mambo yako kwenda kufungua gate unakutana na mtu anakwambia anauza chupa za chai!
Bose brand
Nilimaanisha unaempiga short si lazima um tight kwanza kabla hujamtia umeme, sasa endapo umekaba koo kisha ukamtia shot ya kwapa inakuwaje maana nawewe utakuwa unakamlilsha circuitHapana haikudhuru, sehemu unayoshika haipitishi umeme
pepper spyra ndiyo nn mkuu? Sina hata mb za ku googleAisee kama kumiliki pepper spray inabidi ukanunue pale mizinga na uonyeshe ID yako iweje kumiliki hiyo stun gun iwe kirahisi hivyo?
Usije ukawapa watu misala wakashindwa kuimaliza mkuu.
Ni sound bar yenyeweNiwekee picha au specification mkuu. Soundbar na subwoofer yake au yenyewe tu?
Meno yake yanayo transmit current Yapo mbele, ukimgusisha Mtu unachofanya nikupress button tuu kuruhusu umeme kupita, Hakuna namna inaweza kukufikia wewe labda tu uyaguse Yale menoNilimaanisha unaempiga short si lazima um tight kwanza kabla hujamtia umeme, sasa endapo umekaba koo kisha ukamtia shot ya kwapa inakuwaje maana nawewe utakuwa unakamlilsha circuit
mkuu imagine hiyo short ya kwapa balaa lakeNilimaanisha unaempiga short si lazima um tight kwanza kabla hujamtia umeme, sasa endapo umekaba koo kisha ukamtia shot ya kwapa inakuwaje maana nawewe utakuwa unakamlilsha circuit
Hahahah itakuwa Konkimkuu imagine hiyo short ya kwapa balaa lake
Not a current is about a volt yaani high voltYes, ili umpige shoti ni lazima umgusishe meno ya stun gun ambayo ndiyo yanatransfer currect
The world is not place to trust that way,natafuta kengele ya getini yenye speaker, mtu akibonyeza kengele niweze kumuuliza wewe ninani na atanisikia kupitia hiyo kenyele, akiongea nami nitamsikia nikiwa ndani, faida yake ni kujua naenda kumfungulia nani na anataka nini
uko sahihi but hii kengele ina kamera kama nilivyoweka picha kwenye post mojawapo hapo juu kabisaThe world is not place to trust that way,
What if atasema mm ni Mussa (sauti ya Mussa unayemfahamu) umemsikia na umejiridhisha unaenda kufungua kumbe mussa amewekewa gun kwa shavu, ile unafungua kumbe unafungulia wezi.
Msingi hapo weka both camera (CCTV) na hiyo Kengele yenye speaker!
Naweza kuitest kwa kukupiga shot wewe mwenyewe muuzaji?SKM OFFERS
1. Alarm system - 300,000/=
2. CCTV camera 4 channel full kit - 350,000/=
3. Portable Vision Playing Station (PVP) - 60,000/=
4. TV box- 90,000/=
5. Soundbar - 90,000/=
6. Bose wireless speaker - 80,000/=
7. hard disk drive 160gb- 45,000/=
8. Stun gun / Teaser- 69,000/=
Mahali: Kijitonyama
Simu: 0656190449
huwezi, kujaribu sio lazima umpige mtuNaweza kuitest kwa kukupiga shot wewe mwenyewe muuzaji?
Sasa nitajuaje kama inafanya kazi?huwezi, kujaribu sio lazima umpige mtu