Jilinde kwa kutumia Stun gun

Jilinde kwa kutumia Stun gun

Hahahah uzuri wa hio kitu ule mshituko wake hata hamu ya ngumi au kukaba anakuwa hana tena maana shoti husisimua neva zote za mwili na kutikisa mapigo ya moyo! Hawezi kuwa na nguvu we imagine ukishikaga switch na maji tu ama naked electric wires hata kwenye pasi jinsi inavyokuwa noma japo ni sekunde moja tu!

Nachoona inahitaji ujasiri kumfikia tu hasa kama ana silaha,tabu ni pale umemu attack kipande cha baba kama Scorpion wa Buguruni af ghafla kidude kimekata moto he he apo ndipo utapojua kuwa hata mbugani kuna timu ya simba japo haina kocha!
Ina uwezo mkubwa Wa kutunza chaji, pia ni rechargeable device
 
Hiyo safi sana.. ameipata wapi na kwa Tsh ngapi? Inakera sana una acha mambo yako kwenda kufungua gate unakutana na mtu anakwambia anauza chupa za chai!
heri wa chupa ya chai mm wayoyo wammtaaani wanayesaje hadi nimeiconnect mida ya mchana kama niko hm
 
Hapana haikudhuru, sehemu unayoshika haipitishi umeme
Nilimaanisha unaempiga short si lazima um tight kwanza kabla hujamtia umeme, sasa endapo umekaba koo kisha ukamtia shot ya kwapa inakuwaje maana nawewe utakuwa unakamlilsha circuit
 
Aisee kama kumiliki pepper spray inabidi ukanunue pale mizinga na uonyeshe ID yako iweje kumiliki hiyo stun gun iwe kirahisi hivyo?

Usije ukawapa watu misala wakashindwa kuimaliza mkuu.
pepper spyra ndiyo nn mkuu? Sina hata mb za ku google
 
Niwekee picha au specification mkuu. Soundbar na subwoofer yake au yenyewe tu?
Ni sound bar yenyewe

Soundbar
Power output 5W
High quality transmission distance 15m

Mahali: Kijitonyama
Simu: 0656190449
 

Attachments

  • IMG_20181010_160030.jpg
    IMG_20181010_160030.jpg
    139.7 KB · Views: 65
  • IMG_20181010_160144.jpg
    IMG_20181010_160144.jpg
    114.7 KB · Views: 68
  • IMG_20181010_160105.jpg
    IMG_20181010_160105.jpg
    123 KB · Views: 60
  • IMG_20181010_160155.jpg
    IMG_20181010_160155.jpg
    132.5 KB · Views: 65
SKM OFFERS

1. GSM Alarm system
3 door/window detectors
3 motion detectors
1 Siren strobe
1 gas/smoke sensor
2 remote control
Bei: 310,000/=

2. CCTV camera 4 channel full
DVR recorder full hd
Installation mouse/remote
2 power adapters
4 extension cables
Bei: 380,000/=

3. Portable Vision Playing Station (PVP)
Ongeza IQ ya mwanao, kuna magame 3000
Bei: 60,000/=

4. Soundbar
Power output 5W
High quality transmission distance 15m
Bei:90,000/=

5. Bose wireless speaker
high quality wireless speaker Bei:80,000/=

6. hard disk drive 160gb
With Free full movies
Bei:45,000/=

7. Stun gun / Teaser
Strong light flashlight
Power output 1000KV
DC discharge
Bei:69,000/=

Mahali: Kijitonyama
Simu: 0656190449
 
Nilimaanisha unaempiga short si lazima um tight kwanza kabla hujamtia umeme, sasa endapo umekaba koo kisha ukamtia shot ya kwapa inakuwaje maana nawewe utakuwa unakamlilsha circuit
Meno yake yanayo transmit current Yapo mbele, ukimgusisha Mtu unachofanya nikupress button tuu kuruhusu umeme kupita, Hakuna namna inaweza kukufikia wewe labda tu uyaguse Yale meno
 
WEEKEND OFFER
#SKMOFFER
Nunua bidhaa weekend hii kwa punguzo La 2% kwa kila bidhaa utakayonunua
 
Nilimaanisha unaempiga short si lazima um tight kwanza kabla hujamtia umeme, sasa endapo umekaba koo kisha ukamtia shot ya kwapa inakuwaje maana nawewe utakuwa unakamlilsha circuit
mkuu imagine hiyo short ya kwapa balaa lake
 
natafuta kengele ya getini yenye speaker, mtu akibonyeza kengele niweze kumuuliza wewe ninani na atanisikia kupitia hiyo kenyele, akiongea nami nitamsikia nikiwa ndani, faida yake ni kujua naenda kumfungulia nani na anataka nini
The world is not place to trust that way,
What if atasema mm ni Mussa (sauti ya Mussa unayemfahamu) umemsikia na umejiridhisha unaenda kufungua kumbe mussa amewekewa gun kwa shavu, ile unafungua kumbe unafungulia wezi.

Msingi hapo weka both camera (CCTV) na hiyo Kengele yenye speaker!
 
The world is not place to trust that way,
What if atasema mm ni Mussa (sauti ya Mussa unayemfahamu) umemsikia na umejiridhisha unaenda kufungua kumbe mussa amewekewa gun kwa shavu, ile unafungua kumbe unafungulia wezi.

Msingi hapo weka both camera (CCTV) na hiyo Kengele yenye speaker!
uko sahihi but hii kengele ina kamera kama nilivyoweka picha kwenye post mojawapo hapo juu kabisa
 
Stun gun / Teaser /Shocker
Itakusaidia kujilinda na uhalifu,
ina tochi na inapiga shoti.
bei: 69,000/=
Mahali: kijitonyama
simu: 0656190449
 
SKM OFFERS

1. Alarm system - 300,000/=
2. CCTV camera 4 channel full kit - 350,000/=
3. Portable Vision Playing Station (PVP) - 60,000/=
4. TV box- 90,000/=
5. Soundbar - 90,000/=
6. Bose wireless speaker - 80,000/=
7. hard disk drive 160gb- 45,000/=
8. Stun gun / Teaser- 69,000/=

Mahali: Kijitonyama
Simu: 0656190449
Naweza kuitest kwa kukupiga shot wewe mwenyewe muuzaji?
 
Back
Top Bottom