Simon Kaboja
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 165
- 117
- Thread starter
- #101
Ina uwezo mkubwa Wa kutunza chaji, pia ni rechargeable deviceHahahah uzuri wa hio kitu ule mshituko wake hata hamu ya ngumi au kukaba anakuwa hana tena maana shoti husisimua neva zote za mwili na kutikisa mapigo ya moyo! Hawezi kuwa na nguvu we imagine ukishikaga switch na maji tu ama naked electric wires hata kwenye pasi jinsi inavyokuwa noma japo ni sekunde moja tu!
Nachoona inahitaji ujasiri kumfikia tu hasa kama ana silaha,tabu ni pale umemu attack kipande cha baba kama Scorpion wa Buguruni af ghafla kidude kimekata moto he he apo ndipo utapojua kuwa hata mbugani kuna timu ya simba japo haina kocha!