Uchaguzi 2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo nikiwa bado mdogo sana , angalau Kasyupa unaweza kumsamehe kutokana na changamoto za wakati ule.

Baada ya Kasyupa Alipipi akaja Mwakipesile ( siyo yule aliyeshindwa na Kasyupa ) , huyu alitokea Dar es Salaam kuja kuchukua ubunge wa Kyela , na kwa vile alikuwa mkazi wa DSM hakuwa na tija yoyote kwa maendeleo ya Kyela , baada kushiba akaangushwa na Mwakyembe ambaye ndio mbunge wa Kyela hadi leo.

Kwa mujibu wa Wananchi wa Kyela mpaka sasa hakuna ahadi yoyote ya Mwakyembe iliyotimizwa katika alizowaahidi wananchi wa Kyela , ikiwemo ya kutafuta soko la Mchele wa Kyela nchini Marekani , bali kikubwa alichokifanya ni kuchangia kukausha maji ya DANIDA na kuua Taasisi ya MANGO TREE iliyokuwa msaada mkubwa wa kusaidia watoto yatima na wale wanaoishi na virusi vya Ukimwi , Ikumbukwe kwamba Kyela ni miongoni mwa maeneo yenye kiwango cha juu kabisa cha maambukizi ya Ukimwi , kutokana na mila za kizamani za kurithi wake wa Marehemu , maarufu kama " KILINGO " , sina hakika kama mpaka leo hivi vilingo bado vipo , lakini makovu yake bado yanaiteketeza Kyela kwa ukimwi , hivyo basi bado taasisi za kimataifa za kusaidia watoto yatima bado zilihitajika , Mwakyembe pia anatuhumiwa kushiriki kupora soko la Wilaya ya Kyela ambalo ndio chanzo kikuu cha mapato ya halmashauri na kulikabidhi kwa ccm kinyume kabisa cha sheria na taratibu za nchi

Mwakyembe ameshindwa kuboresha barabara zote mbadala zilizokuwepo awali na ambazo zilikuwa tegemeo , kwa mfano barabara ya kutoka daraja la Ipyana , inayopita vijiji vya Muungano , Lupembe , Ibungu , kilasilo , Mbako , Lubele hadi boda ya Kasumulu iliyokuwa tegemeo la usafiri ni kama imekufa , barabara nyingine iliyotelekezwa ni ile ya kutoka shule ya Msingi Mbako , inayopita vijiji vya Njisi , Isaki , Kabanga hadi katumbasongwe na kuunganisha hadi Ngonga na Ikolo , hii barabara ya Nkuyu hadi Matema iliyowekwa lami hivi karibuni ni mradi uliofadhiliwa na taasisi za kimataifa , hakuna juhudi zozote za Mwakyembe .

Kwa leo lengo langu halikuwa kujadili sana haya mambo bali nililenga kuonyesha jinsi wabunge wanaume wa jimbo la Kyela walivyoshindwa kuleta tija kwa maendeleo ya kyela na kushindwa kuwakomboa wananchi .

Kuna haja ya jimbo la Kyela sasa kuongozwa na Mbunge mwanamke , hii ni kutokana na hulka ya asili ya akina mama kujaa huruma na Upendo .
 
Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo nikiwa bado mdogo sana , angalau Kasyupa unaweza kumsamehe kutokana na changamoto za wakati ule.

Baada ya Kasyupa Alipipi akaja Mwakipesile ( siyo yule aliyeshindwa na Kasyupa ) , huyu alitokea Dar es Salaam kuja kuchukua ubunge wa Kyela , na kwa vile alikuwa mkazi wa DSM hakuwa na tija yoyote kwa maendeleo ya Kyela , baada kushiba akaangushwa na Mwakyembe ambaye ndio mbunge wa Kyela hadi leo.

Kwa mujibu wa Wananchi wa Kyela mpaka sasa hakuna ahadi yoyote ya Mwakyembr iliyotimizwa katika alizowaahidi wananchi wa Kyela , ikiwemo ya kutafuta soko la Mchele wa Kyela nchini Marekani , bali kikubwa alichokifanya ni kuchangia kukausha maji ya DANIDA na kuua Taasisi ya MANGO TREE iliyokuwa msaada mkubwa wa kusaidia watoto yatima na wale wanaoishi na virusi vya Ukimwi , Ikumbukwe kwamba Kyela ni miongoni mwa maeneo yenye kiwango cha juu kabisa cha maambukizi ya Ukimwi , kutokana na mila za kizamani za kurithi wake wa Marehemu , maarufu kama " KILINGO " , sina hakika kama mpaka leo hivi vilingo bado vipo , lakini makovu yake bado yanaiteketeza Kyela kwa ukimwi , hivyo basi bado taasisi za kimataifa za kusaidia watoto yatima bado zilihitajika

Kwa leo lengo langu halikuwa kujadili maradhi , bali nililenga kuonyesha jinsi wabunge wanaume wa jimbo la Kyela walivyoshindwa kuleta tija kwa maendeleo ya kyela na kushindwa kuwakomboa wananchi .

Astaghafililaah!

Sijui kama ndio neno sahihi, maanake kiarabu sijui!

"Kuna haja ya ya jimbo la Kyela sasa kuongozwa na Mbunge mwanamke,..."?

Hili ndilo lililonishangaza, lakini naogopa kuuliza.
 
Sawa mama kwa kuwa ulishatangaza nia ya kugombea na sasa unajipigia kampeni, basi tutakufikiria tuone kama unatosha kumzidi Mwakalinga!
 
Ukiacha Mwakalinga kuwa rafiki wa Magufuli baada ya kutoka naye Ujenzi na kumpa TBA ambako ameacha gumzo la Expansion joint na baadaye kumfichia aibu na kumpeleka wizarani , huyo mtu wako hana ushawishi wowote kyela na wala hajawahi kusaidia lolote zaidi ya kununulia pombe wachache wa kijijini kwao , siasa za Kyela si za Dodoma kwamba unaweza kuweka hata jiwe likashinda .

Kumbuka Kyela hakuna njaa ya kuhonga wananchi chumvi na kilo ya unga
 
Astaghafililaah!

Sijui kama ndio neno sahihi, maanake kiarabu sijui!

"Kuna haja ya ya jimbo la Kyela sasa kuongozwa na Mbunge mwanamke,..."?

Hili ndilo lililonishangaza, lakini naogopa kuuliza.
Mkuu JF ina nahau nyingi sana , ukisoma haraka haraka unaweza kupata kwi kwi
 
Ukiacha Mwakalinga kuwa rafiki wa Magufuli baada ya kutoka naye Ujenzi na kumpa TBA ambako ameacha gumzo la Expansion joint na baadaye kumfichia aibu na kumpeleka wizarani , huyo mtu wako hana ushawishi wowote kyela na wala hajawahi kusaidia lolote zaidi ya kununulia pombe wachache wa kijijini kwao , siasa za Kyela si za Dodoma kwamba unaweza kuweka hata jiwe likashinda .

Kumbuka Kyela hakuna njaa ya kuhonga wananchi chumvi na kilo ya unga
Basi tutakuchagua.....maana hata Spika ni zamu ya mwanamke unaweza kubahatisha pia!
 
Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo nikiwa bado mdogo sana , angalau Kasyupa unaweza kumsamehe kutokana na changamoto za wakati ule.

Baada ya Kasyupa Alipipi akaja Mwakipesile ( siyo yule aliyeshindwa na Kasyupa ) , huyu alitokea Dar es Salaam kuja kuchukua ubunge wa Kyela , na kwa vile alikuwa mkazi wa DSM hakuwa na tija yoyote kwa maendeleo ya Kyela , baada kushiba akaangushwa na Mwakyembe ambaye ndio mbunge wa Kyela hadi leo.

Kwa mujibu wa Wananchi wa Kyela mpaka sasa hakuna ahadi yoyote ya Mwakyembe iliyotimizwa katika alizowaahidi wananchi wa Kyela , ikiwemo ya kutafuta soko la Mchele wa Kyela nchini Marekani , bali kikubwa alichokifanya ni kuchangia kukausha maji ya DANIDA na kuua Taasisi ya MANGO TREE iliyokuwa msaada mkubwa wa kusaidia watoto yatima na wale wanaoishi na virusi vya Ukimwi , Ikumbukwe kwamba Kyela ni miongoni mwa maeneo yenye kiwango cha juu kabisa cha maambukizi ya Ukimwi , kutokana na mila za kizamani za kurithi wake wa Marehemu , maarufu kama " KILINGO " , sina hakika kama mpaka leo hivi vilingo bado vipo , lakini makovu yake bado yanaiteketeza Kyela kwa ukimwi , hivyo basi bado taasisi za kimataifa za kusaidia watoto yatima bado zilihitajika

Mwakyembe ameshindwa kuboresha barabara zote mbadala zilizokuwepo awali na ambazo zilikuwa tegemeo , kwa mfano barabara ya kutoka daraja la Ipyana , inayopita vijiji vya Muungano , Lupembe , Ibungu , kilasilo , Mbako , Lubele hadi boda ya Kasumulu iliyokuwa tegemeo la usafiri ni kama imekufa , barabara nyingine iliyotelekezwa ni ile ya kutoka shule ya Msingi Mbako , inayopita vijiji vya Njisi , Isaki , Kabanga hadi katumbasongwe na kuunganisha hadi Ngonga na Ikolo , hii barabara ya Nkuyu hadi Matema iliyowekwa lami hivi karibuni ni mradi uliofadhiliwa na taasisi za kimataifa , hakuna juhudi zozote za Mwakyembe .

Kwa leo lengo langu halikuwa kujadili sana haya mambo bali nililenga kuonyesha jinsi wabunge wanaume wa jimbo la Kyela walivyoshindwa kuleta tija kwa maendeleo ya kyela na kushindwa kuwakomboa wananchi .

Kuna haja ya jimbo la Kyela sasa kuongozwa na Mbunge mwanamke , hii ni kutokana na hulka ya asili ya akina mama kujaa huruma na Upendo .
Mbunge mtarajiwa utagombea kupitia Chadema iliyokufa?
 
Back
Top Bottom