Uchaguzi 2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

Mleta mara umekata tamaa hugombei Tena kyela? Si ulisema utagombea?
 
Nikiwa kama mkulima,mkazi wa ipinda kyela nimesikitishwa sana na ubaguzi wa kijinsia unaotaka kutuletea wananchi wa kyela,tunamshukuru sana mwakyembe kwa mchango wake mkubwa hasa sisi wana ipinda wakulima wa mpunga asingekuwa yeye tusingekuwa na mafanikio kama.haya tuliyonayo sasa.Kamwambie aliekutuma hatumchagui ng'oo.Tunataka watu wachapakazi wanaotuwakilisha vema kama mwakyembe na si waimba mipasho
 
umelima peke yako , gwipile gwimwene , utondwile gwimwene , po ukati ndaga Mwakyembe abhombile ifiki ? pamo linga ulintojofu .
 
so what ?
Huna msimamo ulisema humu utagombea ghafla umeigwaya CCM unasukumia wanawake!!! Kidume umekimbia Jimbo mchana kweupe kuogopa aibu hiloooooooo!!! Mtu mzima akienda kujisaidia haja kubwa porini kijijini husingizia anaenda kutafuta kuni

Wewe unasingizia ohhhh Ni wakati wa mwanamke !!!!! Unasingizia Kama unakwenda kukata kuni !!!! Kumbe unatoroka Jimbo Baada ya kuona hutoboi
 
Nikiwa kama mkulima,mkazi wa ipinda kyela nimesikitishwa sana na ubaguzi wa kijinsia unaotaka kutuletea wananchi wa kyela,tunamshukuru sana mwakyembe kwa mchango wake mkubwa hasa sisi wana ipinda wakulima wa mpunga asingekuwa yeye tusingekuwa na mafanikio kama.haya tuliyonayo sasa.Kamwambie aliekutuma hatumchagui ng'oo.Tunataka watu wachapakazi wanaotuwakilisha vema kama mwakyembe na si waimba mipasho
Ubhaponiege
 
Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo nikiwa bado mdogo sana , angalau Kasyupa unaweza kumsamehe kutokana na changamoto za wakati ule.

Baada ya Kasyupa Alipipi akaja Mwakipesile ( siyo yule aliyeshindwa na Kasyupa ) , huyu alitokea Dar es Salaam kuja kuchukua ubunge wa Kyela , na kwa vile alikuwa mkazi wa DSM hakuwa na tija yoyote kwa maendeleo ya Kyela , baada kushiba akaangushwa na Mwakyembe ambaye ndio mbunge wa Kyela hadi leo.

Kwa mujibu wa Wananchi wa Kyela mpaka sasa hakuna ahadi yoyote ya Mwakyembe iliyotimizwa katika alizowaahidi wananchi wa Kyela , ikiwemo ya kutafuta soko la Mchele wa Kyela nchini Marekani , bali kikubwa alichokifanya ni kuchangia kukausha maji ya DANIDA na kuua Taasisi ya MANGO TREE iliyokuwa msaada mkubwa wa kusaidia watoto yatima na wale wanaoishi na virusi vya Ukimwi , Ikumbukwe kwamba Kyela ni miongoni mwa maeneo yenye kiwango cha juu kabisa cha maambukizi ya Ukimwi , kutokana na mila za kizamani za kurithi wake wa Marehemu , maarufu kama " KILINGO " , sina hakika kama mpaka leo hivi vilingo bado vipo , lakini makovu yake bado yanaiteketeza Kyela kwa ukimwi , hivyo basi bado taasisi za kimataifa za kusaidia watoto yatima bado zilihitajika

Mwakyembe ameshindwa kuboresha barabara zote mbadala zilizokuwepo awali na ambazo zilikuwa tegemeo , kwa mfano barabara ya kutoka daraja la Ipyana , inayopita vijiji vya Muungano , Lupembe , Ibungu , kilasilo , Mbako , Lubele hadi boda ya Kasumulu iliyokuwa tegemeo la usafiri ni kama imekufa , barabara nyingine iliyotelekezwa ni ile ya kutoka shule ya Msingi Mbako , inayopita vijiji vya Njisi , Isaki , Kabanga hadi katumbasongwe na kuunganisha hadi Ngonga na Ikolo , hii barabara ya Nkuyu hadi Matema iliyowekwa lami hivi karibuni ni mradi uliofadhiliwa na taasisi za kimataifa , hakuna juhudi zozote za Mwakyembe .

Kwa leo lengo langu halikuwa kujadili sana haya mambo bali nililenga kuonyesha jinsi wabunge wanaume wa jimbo la Kyela walivyoshindwa kuleta tija kwa maendeleo ya kyela na kushindwa kuwakomboa wananchi .

Kuna haja ya jimbo la Kyela sasa kuongozwa na Mbunge mwanamke , hii ni kutokana na hulka ya asili ya akina mama kujaa huruma na Upendo .
kila ukikutana na mwana Kyela popote hapa nchini ukiwasikiliza wanavyomwongelea Mwakyembe inadhihirisha mambo ya huyu bwana yamewafika hapa! wamemchoka chokesti kabisa!
 
Ukiacha Mwakalinga kuwa rafiki wa Magufuli baada ya kutoka naye Ujenzi na kumpa TBA ambako ameacha gumzo la Expansion joint na baadaye kumfichia aibu na kumpeleka wizarani , huyo mtu wako hana ushawishi wowote kyela na wala hajawahi kusaidia lolote zaidi ya kununulia pombe wachache wa kijijini kwao , siasa za Kyela si za Dodoma kwamba unaweza kuweka hata jiwe likashinda .

Kumbuka Kyela hakuna njaa ya kuhonga wananchi chumvi na kilo ya unga
Kumbe kuna Mwakalinga Wengi na Vipi yule wa UK nae anagombea?
 
Huyo mwakalinga wa UK ndie huyu mleta mada kakimbia Jimbo Baada ya kuona hatoboi.Alisema anagombea kagwaya ghafla!!!!!
 
Huna msimamo ulisema humu utagombea ghafla umeigwaya CCM unasukumia wanawake!!! Kidume umrkimbia Jimbo mchana kweupe kuogopa aibu hiloooooooo!!! Mtu mzima akienda kujisaidia haja kubwa porini kijijini husingizia anaenda kutafuta kuni

Wewe unasingizia ohhhh Ni wakati wa mwanamke !!!!! Unasingizia Kama unakwenda kukata kuni !!!! Kumbe unatoroka Jimbo Baada ya kuona hutoboi
wewe uliingiaje JF ?
 
Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo nikiwa bado mdogo sana , angalau Kasyupa unaweza kumsamehe kutokana na changamoto za wakati ule.

Baada ya Kasyupa Alipipi akaja Mwakipesile ( siyo yule aliyeshindwa na Kasyupa ) , huyu alitokea Dar es Salaam kuja kuchukua ubunge wa Kyela , na kwa vile alikuwa mkazi wa DSM hakuwa na tija yoyote kwa maendeleo ya Kyela , baada kushiba akaangushwa na Mwakyembe ambaye ndio mbunge wa Kyela hadi leo.

Kwa mujibu wa Wananchi wa Kyela mpaka sasa hakuna ahadi yoyote ya Mwakyembe iliyotimizwa katika alizowaahidi wananchi wa Kyela , ikiwemo ya kutafuta soko la Mchele wa Kyela nchini Marekani , bali kikubwa alichokifanya ni kuchangia kukausha maji ya DANIDA na kuua Taasisi ya MANGO TREE iliyokuwa msaada mkubwa wa kusaidia watoto yatima na wale wanaoishi na virusi vya Ukimwi , Ikumbukwe kwamba Kyela ni miongoni mwa maeneo yenye kiwango cha juu kabisa cha maambukizi ya Ukimwi , kutokana na mila za kizamani za kurithi wake wa Marehemu , maarufu kama " KILINGO " , sina hakika kama mpaka leo hivi vilingo bado vipo , lakini makovu yake bado yanaiteketeza Kyela kwa ukimwi , hivyo basi bado taasisi za kimataifa za kusaidia watoto yatima bado zilihitajika

Mwakyembe ameshindwa kuboresha barabara zote mbadala zilizokuwepo awali na ambazo zilikuwa tegemeo , kwa mfano barabara ya kutoka daraja la Ipyana , inayopita vijiji vya Muungano , Lupembe , Ibungu , kilasilo , Mbako , Lubele hadi boda ya Kasumulu iliyokuwa tegemeo la usafiri ni kama imekufa , barabara nyingine iliyotelekezwa ni ile ya kutoka shule ya Msingi Mbako , inayopita vijiji vya Njisi , Isaki , Kabanga hadi katumbasongwe na kuunganisha hadi Ngonga na Ikolo , hii barabara ya Nkuyu hadi Matema iliyowekwa lami hivi karibuni ni mradi uliofadhiliwa na taasisi za kimataifa , hakuna juhudi zozote za Mwakyembe .

Kwa leo lengo langu halikuwa kujadili sana haya mambo bali nililenga kuonyesha jinsi wabunge wanaume wa jimbo la Kyela walivyoshindwa kuleta tija kwa maendeleo ya kyela na kushindwa kuwakomboa wananchi .

Kuna haja ya jimbo la Kyela sasa kuongozwa na Mbunge mwanamke , hii ni kutokana na hulka ya asili ya akina mama kujaa huruma na Upendo .
You might have a point, but using gender bias has made it a very poor argument.
 
Back
Top Bottom