Uchaguzi 2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

Mleta mara umekata tamaa hugombei Tena kyela? Si ulisema utagombea?
 
Nikiwa kama mkulima,mkazi wa ipinda kyela nimesikitishwa sana na ubaguzi wa kijinsia unaotaka kutuletea wananchi wa kyela,tunamshukuru sana mwakyembe kwa mchango wake mkubwa hasa sisi wana ipinda wakulima wa mpunga asingekuwa yeye tusingekuwa na mafanikio kama.haya tuliyonayo sasa.Kamwambie aliekutuma hatumchagui ng'oo.Tunataka watu wachapakazi wanaotuwakilisha vema kama mwakyembe na si waimba mipasho
 
umelima peke yako , gwipile gwimwene , utondwile gwimwene , po ukati ndaga Mwakyembe abhombile ifiki ? pamo linga ulintojofu .
 
so what ?
Huna msimamo ulisema humu utagombea ghafla umeigwaya CCM unasukumia wanawake!!! Kidume umekimbia Jimbo mchana kweupe kuogopa aibu hiloooooooo!!! Mtu mzima akienda kujisaidia haja kubwa porini kijijini husingizia anaenda kutafuta kuni

Wewe unasingizia ohhhh Ni wakati wa mwanamke !!!!! Unasingizia Kama unakwenda kukata kuni !!!! Kumbe unatoroka Jimbo Baada ya kuona hutoboi
 
Ubhaponiege
 
kila ukikutana na mwana Kyela popote hapa nchini ukiwasikiliza wanavyomwongelea Mwakyembe inadhihirisha mambo ya huyu bwana yamewafika hapa! wamemchoka chokesti kabisa!
 
Kumbe kuna Mwakalinga Wengi na Vipi yule wa UK nae anagombea?
 
Kumbe kuna Mwakalinga Wengi na Vipi yule wa UK nae anagombea?
Huyo mwakalinga wa UK ndie huyu mleta mada kakimbia Jimbo Baada ya kuona hatoboi.Alisema anagombea kagwaya ghafla!!!!!
 
wewe uliingiaje JF ?
 
You might have a point, but using gender bias has made it a very poor argument.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…