Uchaguzi 2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

Mkuu ile ugomvi kati ya Mwakalinga, Mwakyembe na M/kiti CCM kuhusu ukarabati na uboreshaji wa uwanja wa mpira hapo Kyela umeishia wapi? Naona ile hospitali ya Wilaya ya Kyela Mwakalinga alikua anafuatilia maendeleo yake kumzidi Mbunge Mwakyembe.
Mwakyembe ameshindwa ata kufanya lobbing ajengewe ile daraja la mbao tena njiani kwenda kwao.
Wakati wa msiba wa marehemu Mke wake tulipata shida sana.
Mwakyembe ndo Mbunge bure kabisa hapo Kyela...Mwakalinga akijichanga vizuri jimbo ni lake.
 
kumbe mwakalinga alishahamishia makazi tanganyika toka ulaya?!
 
Kwa hoja hiyo!! Nafikiri na CHADEMA inahitaji Mwenyekiti Mwanamke baada ya mfuatano wa wanaume kushindwa kuiondoa CCM miaka 28 sasa!
 
Wasomi wa Kyela ni watu wenye majivuno na ubinafsi, mfano halisi ni aliyepo sasa. Kyela kwa bahati mbaya haina wasomi wengi kutokana na kutokuwepo wamisionari wengi kama ilivyokuwa Tukuyu. Wasomi hao wachache wanawaona wanakyela kuwa watu duni hivyo hawawezi kukitana nao.
 
wakiachana na utamaduni wa kujisaidia machakani ni watu waungwana sana.
 
Lile daraja la pale Kona ya mbugani kuelekea Ngonga na Matema kwa Mwamnyange?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…