Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Makongamano ndiyo wapi huko? Au ulikuwa unamaanisha Makongolosi?Kwa hiyo ule ujenzi unaoendelea kutoka Makongamano kwenda Tabora/Singida lami itapita angani?
Mlugo Yuko Jimbo la Songwe (Wilaya ya Songwe)Pili Je ni Kwa Kasaka au Kwa Mlugo?
Kasaka Yuko Jimbo la Lupa (Wilaya ya Chunya)