Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Halafu ACT ndio waungane na CDM?
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye.
Amedai pia, ACT haijawawekea mapingamizi CCM.
Huyu sio Membe kupitia ACT?
Sasa mbona unalalamika na wakati ndo vizuri kwenu maccm?Hahahahahahaha yeye akiwekea mapingamizi wengine hawakimbiliii mitandaoni lakini kawekewa yeye fasta anakimbilia mitandaoni kulia lia Chadema wameshaona mitandaoni kama ndo HQ yao si Ufipa tena
Chadema wanadanganywa na twakimu za kuwa
Wananchi wenye kuaccess Internet Tanzania ni milion 22.3 sawa na asilimia 41.4 ya wananchi wote sijui kama walishajiuliza Tanzania ni mambo gani au vitu gani vinafatiliwa au kugoogle sana kwenye Internet ?
Watanzania wengi wanaotumia internet hawafatilii siasa kwenye mitandao ni asilimia chache sana hata ukifanya utafiti utagundua ni Twitter tu ndo wanafatilia siasa but sehemu au mitandao mingine nadhani unajua nn kinafatiliwa sasa jiulize Twitter ni watanzania wangapi wana account huko??
Tanzania bado main stream media(TV,Magazeti,Radio) bado zinanguvu sana na bado zinafatiliwa na watu wengi kwa sababu kupata taarifa huko ni free au cheap kulinganisha na mitandaoni sasa wanapogeuza mitandao kama ndo sehemu muhimu ya kuwapasha habari Watanzania wanatakiwa kujua nilazima uwe na bando kitu ambacho mtu wa mikoani hawezi kununua GB 4 eti kumuangalia Tundu Lissu akiutubia You tube au Chedema wanasena nini mitandaoni .
Hahahaha mpk sasa CCM wapo kimya ni nyinyi kutwa mitandaoni kulalamika na kutafuta kura za huruma niwambie tu haijawai tokea Tanzania mtu akasema nimempigia kura fulani kwa sababu nimemuonea huruma watanzania kuoneana huruma ni ktk mapenzi tu..Sasa mbona unalalamika na wakati ndo vizuri kwenu maccm?
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye.
Amedai pia, ACT haijawawekea mapingamizi CCM.
Huyu sio Membe kupitia ACT?
Hahaha wao ndio wageni kwenye mapambano, Lisu na CHADEMA wao mapambano ni sehemu ya maisha ya kila siku.Ni kweli hayo yote ni matawi ya ccm na wapo kwa ajili ya kupambana na jabali mmoja tu...LISSU
KabisaaHahaha wao ndio wageni kwenye mapambano, Lisu na CHADEMA wao mapambano ji sehemu ya maisha ya kila siku.
Kwa sasa wanaogopa, wanatamani kuifuta CHADEMA.
Hahahaha mpk sasa CCM wapo kimya ni nyinyi kutwa mitandaoni kulalamika na kutafuta kura za huruma niwambie tu haijawai tokea Tanzania mtu akasema nimempigia kura fulani kwa sababu nimemuonea huruma watanzania kuoneana huruma ni ktk mapenzi tu..
Sasa kama mnatafuta wapenzi mnaweza kuonewa huruma but kama mnatafuta kutawala nchi jua watu wanataka sera za kiuchumi na kijamii na mueleze mtatufikisha wapi kiuchumi kitu ambacho hamuwezi kabisa kama mmeshindwa kujenga hata ghorofa moja yawe HQ yenu na ruzuku mnapata na wabunge wenu wanakatwa fedha kila mwisho wa mwezi lakini mmeshindwa hata kununua kiwanja Chanika
Sasa unataka wamuwekee wa C.C.M wa nini wakati yeye ameshamuwekea!Kumbe ndio wale wale!!
Kwanini hawajawawekea wa CCM kama kweli wanalinda sheria?
Hakika muda umetusaidia kuwajua ACT!
Wakikujibu unitagi ila hawa jamaa ukilala nao chumba kimoja inabidi jicho moja uliache wazi siwaamini hata nuktaACT Wazalendo na Zitto mna la kujibu? Au na nyie ni jumuia ya CCM?
Wawawekee CCM pingamizi la nini? Wamekosea nini?Kumbe ndio wale wale!!
Kwanini hawajawawekea wa CCM kama kweli wanalinda sheria?
Hakika muda umetusaidia kuwajua ACT!
Mgombea wa ACT Ubungo ni nani?
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye.
Amedai pia, ACT haijawawekea mapingamizi CCM.
Huyu sio Membe kupitia ACT?
Zitto ni msaliti tangu zamani na anatumika kwa maslahi ya ccm, ndio maana chadema hawataki ushirikiano na msaliti
Yani unataka wawekewe w ccm hata kama hawaoni kosa ili tu wasikike kama alivyofanya Lisu huko dodoma?Kumbe ndio wale wale!!
Kwanini hawajawawekea wa CCM kama kweli wanalinda sheria?
Hakika muda umetusaidia kuwajua ACT!
Dah inasikitisha sana Zitto naye kubariki hayo Mapingamizi ,,,Upinzani imara ni kupambana na CCM na sio Upinzani mwenzako ,kazi ya kupambana na wapinzani wamepewa Lipumba na Shibuda na wapo kwenye payroll.ACT Wazalendo na Zitto mna la kujibu? Au na nyie ni jumuia ya CCM?
Wewe na nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MEMBE hatumtaki