Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Nikianza kutaja hapa sijui kama nitamaliza
 
Huyu msenge sylvia alinikatalia form moko ila kuna wahenga kibao walikuwa wanaweka kinyele nae alikuwa mtu wa mbeya huko huko kibuyuuu..Sylvia opportunist af style yao hio hio ya kujitia wameokoka
 
Satan,maana huyu ndo alikuwa ananipelekapeleka less kimapenz
 
Nimekuelewa my sister,

Unajua kuhifadhi vitu moyoni muda mrefu ni shida Sana, najua inauma Ila inabidi tujifunze kuwa mapito tu then tusonge mbele
 
Pia kuna Maria alinisaliti vibaya!!!! what's the helly with you Mary. Ulinidanganya unaenda kulala ofisini kwenu kuna kazi kutwa nzima na unaweza kulala ili mmalize kazi uende likizo. Kumbe ulienda town kugawa uroda kwa lijamaa mliosoma nalo. Kama upo humu jf umenijua. Nilikuacha bila kusema sababu na uliporudi likizo ukanikuta sina mpango na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…