hahaahha wanawake bora mkatulia mtusikilize tu maana hamna ujasiri wa kusema ila wahanga wakubwa ni nyieHuu uzi kwa tathimini wanaume ndo mnalalamika sana kutendwa na wanawake....kwani wanawake hamtendwi au vichwa ngumu??
Tunasikilizia, tukianza kujibu mapigo mtatuelewa, Mana mnatupa laana humu, mnatutusi sisi, tumewatenda sisi, hahaha tunachungulia tu,hahaahha wanawake bora mkatulia mtusikilize tu maana hamna ujasiri wa kusema ila wahanga wakubwa ni nyie
sie tunatendwa (mara 1-2 ) hapo ni pale kwa tulio wapenda ama kuwa na mahusiano nao huku tukiwa na michepuko ya kutosha (asilimia kubwa ya wanao lalamika hawakua na mpz mmoja)
wanawake wakisema humu uzi utajaa simanzi maana huwa mnajitoa mazima, mnalipia watu ada, mnapika na kufua hata ndoa badoTunasikilizia, tukianza kujibu mapigo mtatuelewa, Mana mnatupa laana humu, mnatutusi sisi, tumewatenda sisi, hahaha tunachungulia tu,
Kumbe mnaelewa mnachofanya, mnatudangia nyie weee, mwisho wa siku mnavotoka mbio utadhani Usain bolt yupo kwenye mashindno ya olympik.wanawake wakisema humu uzi utajaa simanzi maana huwa mnajitoa mazima, mnalipia watu ada, mnapika na kufua hata ndoa bado
una mimba ila mtu yuko bize na wanawake wengine hahahah mambo haya
ujue ukiumizwa/tendwa alafu ukasikia na upande wa pili katendwa unapata ka ahueniKumbe mnaelewa mnachofanya, mnatudangia nyie weee, mwisho wa siku mnavotoka mbio utadhani Usain bolt yupo kwenye mashindno ya olympik.
Ila mmelalamika na matusi juu kinavowanyongolokota Kama nywele za kimasai sie tumemute, malizeni tuanze na sie kuwataja...mlivotutenda
Hahahaha ili mjifariji.....ujue ukiumizwa/tendwa alafu ukasikia na upande wa pili katendwa unapata ka ahueni
s
ndio mambo ya kuumia peke yako ya nini, fanyeni nanyie kutwambi maana sie tusha sema yoteHahahaha ili mjifariji.....
Tulia apo apo usome.......ndio mambo ya kuumia peke yako ya nini, fanyeni nanyie kutwambi maana sie tusha sema yote
Hahahahah kuna wahenga walinikeraa balaaMkwe inaelekea moyo wako umeujaza chuki sana dhidi yetu!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wakakuvuruga ukavurugika. Hope majeraha yashapona.Hahahahah kuna wahenga walinikeraa balaa
Kumbe mnaelewa mnachofanya, mnatudangia nyie weee, mwisho wa siku mnavotoka mbio utadhani Usain bolt yupo kwenye mashindno ya olympik.
Ila mmelalamika na matusi juu kinavowanyongolokota Kama nywele za kimasai sie tumemute, malizeni tuanze na sie kuwataja...mlivotutenda
Umefunika
Mkuu tunafananaZuhura,Anna,Hilda,Felister,Marry mkafie mbele
Mkuu huyu nilimgegeda mara mbili nikaona hatuendani tukaachana, ikawa kila muda ni matusi na kashfa, anapeleleza akimjua dem wako anaenda kuharibu.
Sawa mkuu tusonge mbeleMkuu tunafanana
Ya panya etiDoh, pole sana mdada!
Sumu gani ulitumia best?
Mbona Kama unamsema rafiki yanguRahma huyu mwanamke nimekua naye na mahusiano miaka minne alafu anakuja kuolewa na mwanaume aliyeonana nae siku moja kweli wanawake hawana shukrani