Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Salome?
 
Agnes..huyu mtoto kanitangazia njaa toka mwanzo nikaona sio mbaya na uchaga wangu ila fresh kala vyangu vingi sana ila still anapigika uko nje kipimbi tu ukimuona yani utasema huyu mtoto kadondoka toka mbinguni ila ni mshenzi sana.
 
Nayma alinisababishia ugonjwa wa vidonda vya tumbo. Nashukuru kwa sasa nimemsahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…