Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Sio kwa povu hilooo
 
Ulimgegeda?
 
Ndugu yangu na mm nilibadilikiwa na msabato tukiwa chuo. Hawa mabinti wa kisabato ni vigeugeu sana
 
Ndugu yangu na mm nilibadilikiwa na msabato tukiwa chuo. Hawa mabinti wa kisabato ni vigeugeu sana
Pole saaana ndugu,najua inaumaje kuachwa. Mimi nishajiapiza sitokuja kuwa na binti wa kisabato tena maisha yangu yote. Amina
 
Pole saaana ndugu,najua inaumaje kuachwa. Mimi nishajiapiza sitokuja kuwa na binti wa kisabato tena maisha yangu yote. Amina
Wangu alikuwa binti mkimya,msikifu na mcha mungu. Hizo sifa njema alizitumia kama blanket kufunika uovu wake. Hakuwa na huruma tena licha ya kuniona nadhalilika,afya yangu inanyong'onyea, maisha yangu hatarini na kuvurugika kwa mipango yangu. Nashukuru sana Mungu alininusuru nikakwepa mauti japo niliyataman baada ya kuona maisha hayawezekani bila yeye. Wasabato wamenipa somo
 
Pole sana. Wangu pia alikuwa mkimya na mpole sana kiasi kwamba baadhi ya watu walikuwa wakimuogopa. Somo alilonifunza linaniongoza mpaka leo!
 
Mkuu usiamini sana katika maisha ya udini wa mtu.
Hakuna Aliyekamilika Chini ya Jua, wengine Huigiza tu, hao ndo wabaya acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…