Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Kaunda ni uwanja wa soka au bwawa la kufugia kambale?kaunda stadium
Bado ina mvuto ndio maana hata brand yake ni kubwa. Sema imeshuka ubora.Hivi uwanja wa Man U unaitwaje?
hii timu imekosa mvuto kabisa
Umenikumbusha PES flani cjui ya Mwaka gani asee commentator huu uwanja ndio unatawala Do MorumbišEstadio do Morumbi(Sao Paulo)
Saitama stadium(S.Korea)
Peter Drury na Jim Beglin hata saivi wapo kwenye patched za PES KONAMI 2025Umenikumbusha PES flani cjui ya Mwaka gani asee commentator huu uwanja ndio unatawala Do Morumbi