Kwa nkapa hatoki ntuKwa mkapa hatoki mtu 😂
Sema CCM Kirumba, CCM Mkwakwani na CCM Majimaji.; CCM ni jina la chama cha siasa. Uhuru ni rais mstaafu wa KenyaKirumba ni nani? Mkwakwani ni nani? Majimaji ni nani? Taifa/Uhuru ni nani?
Stadio Marcantonio Bentegodi uwanja wa Hellas Verona
YeahNangwanda Sijaona
pamgo l a kaleOld Trafford
Uwanja wa Atalanta Bergamo Sasa hv wanauita Gewiss StadiumStadio Atleti Azzurri d’italia
Cha ajabu hata ukifika jina linabaki hivyohivyo SIJAONA, sasa sijui ni kipofu auMm napenda jina la nagwanda sjaona ,japo sjawai kufika huko npo Kasikazin huku