Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

insta wameshadanganywa hadi basiiii

Uko insta kuna msukule wa madame jipange jana kanishtuaje et ka post hyo icon ya walk of fame halaf kasema ndomo kashinda tu, mmh yani jipange ana kihere here na kujifanya mjuaji kumbe hakun kitu
 
Diamond ana tatizo ambalo kimsingi linamvua sifa ya kuwa msanii wa kimataifa. huwezi kuidanganya jamii kirahisi rahisi hivi halafu ukatarajia upokelewe positively.
 
Binamu Warumi tuletee habari ya Dida na Edzen Jumanne nasikia limetokea fumanizi la nguvu na kigodoro juu kimefunga mtaa.
 
Binamu Warumi tuletee habari ya Dida na Edzen Jumanne nasikia limetokea fumanizi la nguvu na kigodoro juu kimefunga mtaa.

Hahahahhaha nimeipata mtaa wa pili... makubwa haya. warumi unayo hii?
 
Last edited by a moderator:
Binamu nimesikia habar mbaya kuwa ndomo hata perform leo ,akina davido na tiwa savage sijui na wasanii wengine wa ghana na south nDomo jukwaa ataishia kuliona tu

Hahahaa haaaa
Warumi utaambiwa huter
 
Mi ndo wanipishe kabisa binamu, yan wenyew wanatak tz nzima imsifie huyo chai jaba wao?, wakauze bikin tandale uko

Kusifiana upuzi mana kuna wengne walikuwa wanajicfia mara ana nyota kali ana pendwa cjui blah blah badala ya kumwambia ukweli watasubiri sana wajipange
 
Eti huyu ndio PRO wa Diamond lmao! :sly:😱😀:thumbdown:
 
kwahiyo diamond level moja na charles chaplin?
 
Uko insta kuna msukule wa madame jipange jana kanishtuaje et ka post hyo icon ya walk of fame halaf kasema ndomo kashinda tu, mmh yani jipange ana kihere here na kujifanya mjuaji kumbe hakun kitu

mi simfollow yeye wala madame wake nshawaona wehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…