BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Walk of fame ya tandale....
Ya holliwood atasubiri sana.....
Ya holliwood atasubiri sana.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shida kisifiana kumesha wapoteza wengi msema kweli hater kazi kweli kweli
insta wameshadanganywa hadi basiiii
hapa kwenyewe hauchelewi kuambiwa "hater"
Binamu nimesikia habar mbaya kuwa ndomo hata perform leo ,akina davido na tiwa savage sijui na wasanii wengine wa ghana na south nDomo jukwaa ataishia kuliona tu
Mi ndo wanipishe kabisa binamu, yan wenyew wanatak tz nzima imsifie huyo chai jaba wao?, wakauze bikin tandale uko
Watanzania wengi hawaelewi hata kidogo
Hahahahhaha nimeipata mtaa wa pili... makubwa haya. warumi unayo hii?
Nini haters? Watu tumeshaitwa wachawi kisa hatumsapot ndomo, watu wana wazimu kwel
HOD where are you ?mbona hujibu ?tatizo ulipolala wewe watu washaamka......!hv kwa nini hampendi kua wakweli......
Hahahaa haaaa
Warumi utaambiwa huter
Nishazoea binamu maana nimeshaitwa had mchawi
Binamu Warumi tuletee habari ya Dida na Edzen Jumanne nasikia limetokea fumanizi la nguvu na kigodoro juu kimefunga mtaa.
Hahahahhaha nimeipata mtaa wa pili... makubwa haya. warumi unayo hii?
Uko insta kuna msukule wa madame jipange jana kanishtuaje et ka post hyo icon ya walk of fame halaf kasema ndomo kashinda tu, mmh yani jipange ana kihere here na kujifanya mjuaji kumbe hakun kitu