trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Same situation ilinitokea mimi kipindi nimempata binti yangu. Mimi na baba yake tulishapanga jina kabla hajazaliwa akiwa wa kike aitwe X akiwa wa kiume aitwe Y. Baada ya kuzaliwa wa kike tukampa jina X lakini mama wa baba mtoto alipokuja akataka binti aitwe jina lake kisingizio jina X halina mtakatifu kidini. Binafsi nilishikiria msimamo wa jina alilitoa baba yake ila mwisho wa siku bibi akatoa jina lingine tofauti na lake ( niligoma kabisa asirithi jina) akabatizwa nalo na jina X likabaki katika tangazo hivyo ana majina mawili XZ ambayo yapo kwenye cheti cha kuzaliwa.
Haya mambo yapo sana hasa katika familia ambayo baba anapelekeshwa na hana maamuzi yake binafsi na msimamo.
Haya mambo yapo sana hasa katika familia ambayo baba anapelekeshwa na hana maamuzi yake binafsi na msimamo.