Jina la mwanangu limezua vita ya kifamilia

Jina la mwanangu limezua vita ya kifamilia

Vitu vingine vinachekesha sana na huu udhaifu wa kutaka kumfurahisha kila mtu utakucost.

Unaona aibu au unaogopa kumuudhi mzazi mwenzio kwa kulipiga chini jina alilosuggest mama yake? Kwanza mandate ya yeye kutoa jina anaitoa wapi?

Seems unaendeshwa kama bendera wewe
 
Fanya mnada Washindane kumsomesha, atakayekubali kumsomesha kwa kulipia ada stage ya mbali ashinde jina.

Mfano: Atakayesaini kuwa atamsomesha hadi form 4 huku wengine wakiishia darasa la saba basi wa drs la saba anachagua jina.
Hio ni K.O ya wazi kabisa yani 😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mama watoto alijua kuwa wajibu wa jina ni wangu so katika majina ambayo nilipendekeza tukayajadili nilichagua moja tu. Ndilo analo sasa, japo hizo mbinja za ndugu hazikosekanagi.
 
Mwanaume ndie kiongozi wa Familia, Mwanajme ni dolla nyumban!
Inashangaza baba mtoto kukosa maamuzi ya jambo dogo kama hili dah!
Labda kuna walakini kwanini upande mwingine ung'ang'anie jina tofauti na analopendekeza anaeitwa HEAD OF THE FAMILY
 
Ukiendekeza huo upumbav wa wakwe zako kutaka kutoa hatma ya jina la mtoto hakika itakugharimu baadae... Kuna wakwe wapuuzi sana, nakushauri kiroho na kimwili futa kabisa hilo jina la ukweni, toa jina lako unalotaka na mtoto marufuku kuitwa jina la ukweni... Usiseme mbona wewe baba ako hakukupa jina akatoa uhuru ipigwe kura, kwa upande wake haikua na shida hakua na mvutano kwahio haina athari kimaisha kwako... MWANAUME SIKUZOTE KIAFRIKA KIDINI KIUTAMADUNI ndio unatakiwa utoe jina tena kwa mtoto wa kwanza jina lina maana kubwa sana... Hizi ndoa mama wakwe ukiwaendekeza wajifanye wanakimbelembele ktk maisha ya ndoa yako Next Time atakufanyia upuuzi mwingine... Stand as a man
 
Sipangiwi

Ni mapendekezo Heroo.
Jina linabeba ujumbe,maono,matarajio na nk.

Mfano kama ni mwanaume atakuwa mtu akimpinga atakula risasi 16.
Atajenga International airport Arusha,atajenga Hospital kubwa ya rufaa nyumbani kwa Babu yake mzaa mama na Baba.

Kama ni mwanamke atakuwa mbunge wa viti maalumu lakini hatakuwa na ndoa na kama ni lazima basi atakuwa mwanamke mwenzake.

Mtu asikudanganye majina yana maana kubwa sana.
 
Dah,ilinikuta hii mwaka huu huu,kuna binti nimempachika mimba(sijamuoa na anaishi kwao) baad ya kujifungua mama mkwe akaamua amrithishe jina lake(kisa ndo mjukuu wake wankwanza), na yule binti nae akakubali uamuzi wa mamaake wakati nilishamwambia kabla kua mtoto wangu ataitwa fulani,wakat yote hayo yanafanyika mm hajanambia kuwa mamaake ameamua ampe jina lake,siku namuelekeza namna hilo jina linavyoandikwa ndo ananambia eti mama kasema aitwe jna flani,nkamuuliza kwan huyo mamaako hana watoto? Akanijibu anao,sasa nkamuulza km hlo jina analipenda kwann asiwaite wanawe,bas kilikua kizaazaa sana maana mamaake alikaza aitwe hilo jina,nkaona isiwe kesi nikamwambia kama huyo mtoto ni wangu basi ataitwa jina nnalolitaka ila kama sio wa kwangu mumwite hilo jina lenu na mkimwita hilo jina nawaachia huyo mtoto na sitaki mnitafute kuanzia leo maan mm sio baba wa huyo mtoto,binti alilia sn maan km alikua njia panda kumpinga mamaake hawez na kupinga maamuzi yangu hawezi...dadadeki...
 
Malizia hadithi ikawaje mkuu
 
Malizia hadithi ikawaje mkuu
Baada kumwambia hvyo yule binti akamwambia mamaake msimamo wangu kuw km yeye nd anatoa jina bac na mtoto kasema anakuachia,yule mamaake alivyoona hivyo bas akasema mtoto awe na majina yote mawili yaan jina lake na jina langu pia,yule binti alivyonambia hilo jambo nikamwambia mm sitak tna mjadala kama mtoto n wangu hawez kuwa na majina mawili,mtoto awe na jina moja tu ambalo mm nalitaka tofaut na hapo nawaachia huyo mtoto,bas mama ikabidi akubali lakini kishingo upande. Maan nlikua namwambia kua huyo mtoto ni wangu na mm ndo nina maamuz ya mwisho juuu ya mwanangu kwahy sitaki yeyote aingilie maamuzi yangu juu ya mwanangu. Nlikua nawaambia km leo mnaninyima haki ya kutoa jina wakati mm ndo namhudumia huyo mtoto bas hata haki ya kumuona nitakosa kwahyo sion sababu ya kuendlea kuwa baba wa huyo mtoto,maana hata baba mtu nae hakuwa na maamuzi mbele ya mkewe yeye alikua yupo upande wa mkewe tu,ila baada ya kuwachenjia wakakubali kinyonge sn.
 
Mi
Wakuu nipo njia panda ya kuchagua upande. Haya mambo yasikie tu kwa wengine.

Wakati anazaliwa mwanangu huyu mama yake mzazi mwenzangu ndio alisimamia jambo hili ukizingatia kuwa hiyo ndio ilikua taaluma yake.

Sasa jamaa alipozaliwa tu huyu mama akampa jina dogo tuseme jina Y maana ndio alikua mtu wa kwanza kumbeba na kumhudumia wakati mama wa mtoto bado akiwa katika usingizi.

Sasa baada ya hapo tukakaa na Mzazi mwenzangu kujadili official name ya dogo. Tukakubaliana Jina X hili likashika kasi na likakubalika kwetu.

Sasa tunataka kupata cheti cha kuzaliwa. Tangazo la Kuzaliwa linamtambua dogo kwa jina Y ila ipo option ya kubadili.

Sasa upande wangu wakagundua kuwa kuna jina jingine la dogo analotambulika ambalo lipo katika tangazo la kuzaliwa.

Binafsi mimi sina matatizo na jina lolote so long as huyu dogo anabeba DNA yangu either mimi ndio nimempa au mtu mwingine yeyote.

Historically hata mimi mzee wangu hakunipa jina langu familia nzima walipewa karatasi kura nyingi zikaangukia jina langu. So nimepata jina kwa kura.

Ila sasa naona watu wanaanza kununiana tu nani mwenye haki ya kuchagua jina na jina lipi litumike.

Nilichoamua ni kuwa majina x na y yote yaandikwe kwenye cheti. Yaani aitwe YX.

I hope kila upande utaridhika na vita itakwisha.
Mimi baba ndo mwenye mamuzi ya mwisho mwanangu aitwe jina gani .... hii kwangu ni sheria , ni torati, ni kanuni, ni amri, ni msaafu , ni biblia , kwakifupi nikisema mimi na mkewangu ndo imeisha hiyo
 
Wakuu nipo njia panda ya kuchagua upande. Haya mambo yasikie tu kwa wengine.

Wakati anazaliwa mwanangu huyu mama yake mzazi mwenzangu ndio alisimamia jambo hili ukizingatia kuwa hiyo ndio ilikua taaluma yake.

Sasa jamaa alipozaliwa tu huyu mama akampa jina dogo tuseme jina Y maana ndio alikua mtu wa kwanza kumbeba na kumhudumia wakati mama wa mtoto bado akiwa katika usingizi.

Sasa baada ya hapo tukakaa na Mzazi mwenzangu kujadili official name ya dogo. Tukakubaliana Jina X hili likashika kasi na likakubalika kwetu.

Sasa tunataka kupata cheti cha kuzaliwa. Tangazo la Kuzaliwa linamtambua dogo kwa jina Y ila ipo option ya kubadili.

Sasa upande wangu wakagundua kuwa kuna jina jingine la dogo analotambulika ambalo lipo katika tangazo la kuzaliwa.

Binafsi mimi sina matatizo na jina lolote so long as huyu dogo anabeba DNA yangu either mimi ndio nimempa au mtu mwingine yeyote.

Historically hata mimi mzee wangu hakunipa jina langu familia nzima walipewa karatasi kura nyingi zikaangukia jina langu. So nimepata jina kwa kura.

Ila sasa naona watu wanaanza kununiana tu nani mwenye haki ya kuchagua jina na jina lipi litumike.

Nilichoamua ni kuwa majina x na y yote yaandikwe kwenye cheti. Yaani aitwe YX.

I hope kila upande utaridhika na vita itakwisha.
Huyo bibi anayetoa jina kabla ya wazazi ni mwanga/mchawi,jina ni jukumu la wazazi tena specifically baba mpaka akukasimie hayo madaraka!!hata mamaàngu mzazi hana ruksa kumpa jina mwanangu pasipo idhini yamgu,akitamani kutoa jina aniombe au azae wake ndo kanuni!
 
We mkuu jna lina maana kubwa sn linabeba mustakabari wa maisha ya mtu jna linaweza amua mtu awe nani au awe na tabia zpi, jina linaweza kubeba roho ya kukataliwa au kibali. Bahati mbaya waganga na wachawi na washirikina wanajua siri hii ya mambo ya ulimwengu wa roho kuliko wanaomwamin MUNGU . Shida humu jf kila mtu mjuaji na weng wamepotea kwa ujuaji ninakuhakikshia huyo mtoa jina ukae ukjua hlo jna alilompa mwanao ameshalinua huyo mtoto aweje bahati mbaya sn ye ndo kambeba sku amezaliwa n hatari sn yule anayekubeba sku umezaliwa akiwa wa kwanza kukutamkia jambo liwe baya au jema aisee imekula kwako. Wajuaji karibuni mnichambe.
 
Jina hubeba hatma ya mtu dont take it easy jina lina maana kubwa sana
 
Mimi wa kwangu alikaa wiki bila kupewa jina hadi nilipoambiwa na mama yake kuwa tunasubiria jina la mtoto nikalitamka likawa hilo hadi kesho.

The same kwa mtoto wa kike same same nashangaa huyo mwanamke wako anachogombania nini basi kuna siri nzito usipuuze hakuna kitu mwanamke anachobishania kwenye mahusiano kisichokuwa na sababu za nyuma kwake.

Mbona mwanamke hajabishania jina?

Au una womenphobia?
 
Back
Top Bottom