Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hio ni K.O ya wazi kabisa yani 😂😂😂Fanya mnada Washindane kumsomesha, atakayekubali kumsomesha kwa kulipia ada stage ya mbali ashinde jina.
Mfano: Atakayesaini kuwa atamsomesha hadi form 4 huku wengine wakiishia darasa la saba basi wa drs la saba anachagua jina.
Ko alikupa jina la kinkunti ?[emoji23][emoji23]Hili suala wahanga tupo wengi binafsi nina jina la pekee kwenye ukoo sababu ni hizi hizi za mivutano Mungu mpe maisha marefu Mama yangu mzazi alinipa jina bora Sana.
Inakuwa imeisha 😀Hio ni K.O ya wazi kabisa yani 😂😂😂
Inashangaza baba mtoto kukosa maamuzi ya jambo dogo kama hili dah!Mwanaume ndie kiongozi wa Familia, Mwanajme ni dolla nyumban!
Sipangiwi
Malizia hadithi ikawaje mkuuDah,ilinikuta hii mwaka huu huu,kuna binti nimempachika mimba(sijamuoa na anaishi kwao) baad ya kujifungua mama mkwe akaamua amrithishe jina lake(kisa ndo mjukuu wake wankwanza), na yule binti nae akakubali uamuzi wa mamaake wakati nilishamwambia kabla kua mtoto wangu ataitwa fulani,wakat yote hayo yanafanyika mm hajanambia kuwa mamaake ameamua ampe jina lake,siku namuelekeza namna hilo jina linavyoandikwa ndo ananambia eti mama kasema aitwe jna flani,nkamuuliza kwan huyo mamaako hana watoto? Akanijibu anao,sasa nkamuulza km hlo jina analipenda kwann asiwaite wanawe,bas kilikua kizaazaa sana maana mamaake alikaza aitwe hilo jina,nkaona isiwe kesi nikamwambia kama huyo mtoto ni wangu basi ataitwa jina nnalolitaka ila kama sio wa kwangu mumwite hilo jina lenu na mkimwita hilo jina nawaachia huyo mtoto na sitaki mnitafute kuanzia leo maan mm sio baba wa huyo mtoto,binti alilia sn maan km alikua njia panda kumpinga mamaake hawez na kupinga maamuzi yangu hawezi...dadadeki...
Baada kumwambia hvyo yule binti akamwambia mamaake msimamo wangu kuw km yeye nd anatoa jina bac na mtoto kasema anakuachia,yule mamaake alivyoona hivyo bas akasema mtoto awe na majina yote mawili yaan jina lake na jina langu pia,yule binti alivyonambia hilo jambo nikamwambia mm sitak tna mjadala kama mtoto n wangu hawez kuwa na majina mawili,mtoto awe na jina moja tu ambalo mm nalitaka tofaut na hapo nawaachia huyo mtoto,bas mama ikabidi akubali lakini kishingo upande. Maan nlikua namwambia kua huyo mtoto ni wangu na mm ndo nina maamuz ya mwisho juuu ya mwanangu kwahy sitaki yeyote aingilie maamuzi yangu juu ya mwanangu. Nlikua nawaambia km leo mnaninyima haki ya kutoa jina wakati mm ndo namhudumia huyo mtoto bas hata haki ya kumuona nitakosa kwahyo sion sababu ya kuendlea kuwa baba wa huyo mtoto,maana hata baba mtu nae hakuwa na maamuzi mbele ya mkewe yeye alikua yupo upande wa mkewe tu,ila baada ya kuwachenjia wakakubali kinyonge sn.Malizia hadithi ikawaje mkuu
Mimi baba ndo mwenye mamuzi ya mwisho mwanangu aitwe jina gani .... hii kwangu ni sheria , ni torati, ni kanuni, ni amri, ni msaafu , ni biblia , kwakifupi nikisema mimi na mkewangu ndo imeisha hiyoWakuu nipo njia panda ya kuchagua upande. Haya mambo yasikie tu kwa wengine.
Wakati anazaliwa mwanangu huyu mama yake mzazi mwenzangu ndio alisimamia jambo hili ukizingatia kuwa hiyo ndio ilikua taaluma yake.
Sasa jamaa alipozaliwa tu huyu mama akampa jina dogo tuseme jina Y maana ndio alikua mtu wa kwanza kumbeba na kumhudumia wakati mama wa mtoto bado akiwa katika usingizi.
Sasa baada ya hapo tukakaa na Mzazi mwenzangu kujadili official name ya dogo. Tukakubaliana Jina X hili likashika kasi na likakubalika kwetu.
Sasa tunataka kupata cheti cha kuzaliwa. Tangazo la Kuzaliwa linamtambua dogo kwa jina Y ila ipo option ya kubadili.
Sasa upande wangu wakagundua kuwa kuna jina jingine la dogo analotambulika ambalo lipo katika tangazo la kuzaliwa.
Binafsi mimi sina matatizo na jina lolote so long as huyu dogo anabeba DNA yangu either mimi ndio nimempa au mtu mwingine yeyote.
Historically hata mimi mzee wangu hakunipa jina langu familia nzima walipewa karatasi kura nyingi zikaangukia jina langu. So nimepata jina kwa kura.
Ila sasa naona watu wanaanza kununiana tu nani mwenye haki ya kuchagua jina na jina lipi litumike.
Nilichoamua ni kuwa majina x na y yote yaandikwe kwenye cheti. Yaani aitwe YX.
I hope kila upande utaridhika na vita itakwisha.
Huyo bibi anayetoa jina kabla ya wazazi ni mwanga/mchawi,jina ni jukumu la wazazi tena specifically baba mpaka akukasimie hayo madaraka!!hata mamaàngu mzazi hana ruksa kumpa jina mwanangu pasipo idhini yamgu,akitamani kutoa jina aniombe au azae wake ndo kanuni!Wakuu nipo njia panda ya kuchagua upande. Haya mambo yasikie tu kwa wengine.
Wakati anazaliwa mwanangu huyu mama yake mzazi mwenzangu ndio alisimamia jambo hili ukizingatia kuwa hiyo ndio ilikua taaluma yake.
Sasa jamaa alipozaliwa tu huyu mama akampa jina dogo tuseme jina Y maana ndio alikua mtu wa kwanza kumbeba na kumhudumia wakati mama wa mtoto bado akiwa katika usingizi.
Sasa baada ya hapo tukakaa na Mzazi mwenzangu kujadili official name ya dogo. Tukakubaliana Jina X hili likashika kasi na likakubalika kwetu.
Sasa tunataka kupata cheti cha kuzaliwa. Tangazo la Kuzaliwa linamtambua dogo kwa jina Y ila ipo option ya kubadili.
Sasa upande wangu wakagundua kuwa kuna jina jingine la dogo analotambulika ambalo lipo katika tangazo la kuzaliwa.
Binafsi mimi sina matatizo na jina lolote so long as huyu dogo anabeba DNA yangu either mimi ndio nimempa au mtu mwingine yeyote.
Historically hata mimi mzee wangu hakunipa jina langu familia nzima walipewa karatasi kura nyingi zikaangukia jina langu. So nimepata jina kwa kura.
Ila sasa naona watu wanaanza kununiana tu nani mwenye haki ya kuchagua jina na jina lipi litumike.
Nilichoamua ni kuwa majina x na y yote yaandikwe kwenye cheti. Yaani aitwe YX.
I hope kila upande utaridhika na vita itakwisha.
MariaClaraBila shaka uki unganisha ayo majina YX jina litakua baya ilo msi mtese mtoto
Mimi wa kwangu alikaa wiki bila kupewa jina hadi nilipoambiwa na mama yake kuwa tunasubiria jina la mtoto nikalitamka likawa hilo hadi kesho.
The same kwa mtoto wa kike same same nashangaa huyo mwanamke wako anachogombania nini basi kuna siri nzito usipuuze hakuna kitu mwanamke anachobishania kwenye mahusiano kisichokuwa na sababu za nyuma kwake.