Ngunichile
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 356
- 522
Mimi pia, visheti vyangu vinatoka haswaaa,, ,, hahaaaa mkuu umejua kunichekeshaMi hata wasithubutu kunipendekeza make biashara yangu ya nguo za kike hainipi stress.
Mchafukoge 🤣Anatoka jimbo la mchambawima au makunduchi?
Asante kutujulisha utaratibu, Carol Ndossi nampendekezaKwenye uspika hakuna uteuzi mnagombea wengi, unachukua fomu chama kinakupitisha jina lako linaenda kupigiwa na wabunge
LongaaaNilonge nisilonge!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mfumo huu wa kumpata spika hakuna mhimili wa bunge Bali bunge ni branch ya chama tawala. Nakumbuka Trump aliwasilisha hotuba yake kwa spika na baada ya kufungua hotuba mama yule (speaker) aliichana hotuba mbele ya Trump na maisha yakaendelea. Hapa kuongelea tozo tu speaker katishwa naye kapanic Hadi kukimbia ofisi.
Hakuna hiko kitu, lazima uwe na chama ila umaweza usiwe MBUNGE.Umelisikia kutoka CCM au maana spika anaweza akawa hata ambaye hana chama.
DahUlikuwa unataka asipoendelea tena kuwa huyo huyo Dk. Tulia Ackson awe Shangazi yako au?
Mtu anaitwa JAMBA KWA NGUVU dah... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Kwasasa watu hawa wamelishika mno jina la Mwenyezi Mungu, lakini HAWANA MUNGU KABISA NDANI YA MIOYO YAO.
Subiri uone hicho unachoomba Mungu apishilie mbali kama kitapitishiwa mbali au la [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Huyo msaliti hapewi hata uDCDr. EMMANUEL NCHIMBI ndo spika
Itapendeza sana !!Sipika atatoka zanzibar
AshaRose Migiro !!Tumeambiwa ni zamu ya Wanawake hii. Wanaume tumeshindwa hata kumtetea Ndugai
Ohoooooo utachafua Hali ya hewaZamu ya spika muislam