Jina la Spika litashangaza wengi

Jina la Spika litashangaza wengi

Kwenye uspika hakuna uteuzi mnagombea wengi, unachukua fomu chama kinakupitisha jina lako linaenda kupigiwa na wabunge
Asante kutujulisha utaratibu, Carol Ndossi nampendekeza
 
Kwa mfumo huu wa kumpata spika hakuna mhimili wa bunge Bali bunge ni branch ya chama tawala. Nakumbuka Trump aliwasilisha hotuba yake kwa spika na baada ya kufungua hotuba mama yule (speaker) aliichana hotuba mbele ya Trump na maisha yakaendelea. Hapa kuongelea tozo tu speaker katishwa naye kapanic Hadi kukimbia ofisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulikuwa unataka asipoendelea tena kuwa huyo huyo Dk. Tulia Ackson awe Shangazi yako au?
Dah
JamiiForums1232863076.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwasasa watu hawa wamelishika mno jina la Mwenyezi Mungu, lakini HAWANA MUNGU KABISA NDANI YA MIOYO YAO.
Subiri uone hicho unachoomba Mungu apishilie mbali kama kitapitishiwa mbali au la [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Mtu anaitwa JAMBA KWA NGUVU dah... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom