Jina la Spika litashangaza wengi

Jina la Spika litashangaza wengi

Wengine hapo nyoka wanatumika kuchunguza wenzai

Nyangumi moja wapo kishavuliwa walimvuta kwny Sukuma Gang akajaa leo hii kina Gwajima, Msukuma, Kibajaj ndio wa kwanza kumruka
Wale ni ng'ombe yaani mang'ombe tu.
 
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.

Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
Ramli oyee
 
Ni Ali Hassan Mwinyi yule raisi Mstaaafu,yaani bungeni patakuwa hapatoshi.
 
George simbachawene anakwenda kukalia kiti!
 
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.

Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
Mimi pia nimeshangaa nilipoona wewe hukulitaja Jina hilo la speaker mtalajiwa.
 
Spika hateuliwi, anachaguliwa kwa kupigiwa kura na wabunge na kwa kuwa Bunge hili limejaa CCM watupu, hakuna cha kushangaza yeye kuwa kada wa CCM.

Kwa kuwa CCM ina tabia ya kutusukumizia viongozi wa hovyo kuliko wa awali, hakuna cha kushangaza akiwa wa hovyo kuliko Ndugai na hili halina mjadala.

Atakayeshangaa haijui Tanzania, hajui madhara CCM iliyotusababishia ktoka tupate uhuru miaka 60 iliyopita na hajui kuwa yeye ni kula na kulala, na hivyo ni mtaji mkubwa na hazina ya CCM.
Atakuwa ni ZUZU mtu wa chama kingine kujitokeza kuomba kura za U Spika ndani ya Bunge la Chama Cha Mapinduzi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.

Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
Mimi pia nimeshangaa nilipoona wewe hukulitaja Jina hilo la speaker mtalajiwa.
 
So far so good, wafuatao wameufyata Hadi 2030 au 2040
1.Sabaya
2. Bashite
3. Ndugai
4. Mzee wà kushika dola aka Bashir
5. Polepole
6. Mrisho

Walisumbua sana enzi hizo......
Bashiru usimuweke kwenye hilo kundi
 
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.

Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
wajinga ndo watashangaa
 
Limepita sasa?
 
Back
Top Bottom