Jina la ukoo lina nguvu kubwa sana kiroho

Jina la ukoo lina nguvu kubwa sana kiroho

FB_IMG_1714238995127.jpg
 
embu nieleweshe mkuu?
Mbona kuna watu wamekulia mazingira ya wazazi walevi Lakini walipoondoka hawakuwahi kuwa walevi? Una maanisha nini vitu unarithi hata sehemu tofauti? Wizi? Uongo? Ubabe au ni vipi?
kuna tabia zinarthishwa kwa mfano hali ya ukichaa na baadhi ya tabia tabia nyingine.
 
Back
Top Bottom