Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

nilijiunga jamii forum nikiwa kidato cha kwanza form one B.[ bila ID nasoma soma tu ] sasa nilikuwa naona watu wengi wanaoweka nyuzi humu ni watu wa kubwa

niliijua jamii forum kupitia mwalimu wangu wa English jina kapuni na mpaka leo yupo nina mpango wa kumtongoza , yule madamu alikuwa ananipa simu nikamchajie kwetu shule ilikuwa aina umeme wala sola , na sisi home mzee alifunga sola na nyumba ilikuwa karibu na shule kwahiyo ilinipelekea kuwa nakagua sana ile simu usiku kucha mpaka asubuhi

kidato cha pili nilitengeneza ID na nilihisi mimi nitakuwa mdogo humu kuliko wote

2009
 
Cocastic
Hili neno nilipata siku ya graduation yangu ya advance,

Mie huwa situmii kinywaji chochote cha kiwandani iwe baridi au kilevi, sasa siku hiyo nililazimishwa kunywa soda ya Cocacola, bhanaa wee baadae yake nilitapika had homa ilinipata,

Ndipo baadhi ya wanafunzi wakawa wanasema "coca ime mchapa stick" yaan coca imeniadhibu.

Ndipo nkachukua hili neno "cocastic"
 
mpaka sahivi aunywiii ?
 
Vizur sana aise [emoji16]
 
Dah kweli mkuu kila jina linahistoria
 
Dah pole sana mkuu hakika una historia [emoji123]
 
Authority- jina la mshua kwa Kiswahili Madaraka. Enzi hizo tunaingia secondary tunajifanya tunajua kinge'eng'e tunajitambulisha majina tunageuza yaende kwenye English like
My name is Eve Authority
[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…