NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #41
Mafanikio yatakuja tu mkuu tukazMi mnigeria kutoka kabila la yoruba km jina linavyojieleza...Na maana yake mtu tajiri ingawa mi bado ni choka mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafanikio yatakuja tu mkuu tukazMi mnigeria kutoka kabila la yoruba km jina linavyojieleza...Na maana yake mtu tajiri ingawa mi bado ni choka mbaya.
Noma sana aise kila mahali Kuna historia.Ni kijiji kimoja kipo huko wilaya ya butiama niliwahi kwendea field maeneo hayo nikpenda ujasir wa wananchi wale maana waliwahi wapiga mpaka polisi mawe
Nilipapenda mpaka sasa nimenunua kiwanja huko lazima ntakuja kuishi
Safi sana mkuuMngoni-kabila langu pendwa
Matimila- hii sehemu ni chimbuko na asili yangu pamoja na ukoo wetu wote
Matimila sehemu gani?Mngoni-kabila langu pendwa
Matimila- hii sehemu ni chimbuko na asili yangu pamoja na ukoo wetu wote
mpaka sahivi aunywiii ?Cocastic
Hili neno nilipata siku ya graduation yangu ya advance,
Mie huwa situmii kinywaji chochote cha kiwandani iwe baridi au kilevi, sasa siku hiyo nililazimishwa kunywa soda ya Cocacola, bhanaa wee baadae yake nilitapika had homa ilinipata,
Ndipo baadhi ya wanafunzi wakawa wanasema "coca ime mchapa stick" yaan coca imeniadhibu.
Ndipo nkachukua hili neno "cocastic"
Vizur sana aise [emoji16]Cocastic
Hili neno nilipata siku ya graduation yangu ya advance,
Mie huwa situmii kinywaji chochote cha kiwandani iwe baridi au kilevi, sasa siku hiyo nililazimishwa kunywa soda ya Cocacola, bhanaa wee baadae yake nilitapika had homa ilinipata,
Ndipo baadhi ya wanafunzi wakawa wanasema "coca ime mchapa stick" yaan coca imeniadhibu.
Ndipo nkachukua hili neno "cocastic"
Wangoni mmekutanaMatimila sehemu gani?
Misheni, mpangula, liula, kiheo, mpingi, kikunja,
Au??
Dah kweli mkuu kila jina linahistorianilijiunga jamii forum nikiwa kidato cha kwanza form one B.[ bila ID nasoma soma tu ] sasa nilikuwa naona watu wengi wanaoweka nyuzi humu ni watu wa kubwa
niliijua jamii forum kupitia mwalimu wangu wa English jina kapuni na mpaka leo yupo nina mpango wa kumtongoza , yule madamu alikuwa ananipa simu nikamchajie kwetu shule ilikuwa aina umeme wala sola , na sisi home mzee alifunga sola na nyumba ilikuwa karibu na shule kwahiyo ilinipelekea kuwa nakagua sana ile simu usiku kucha mpaka asubuhi
kidato cha pili nilitengeneza ID na nilihisi mimi nitakuwa mdogo humu kuliko wote
2009
Dah pole sana mkuu hakika una historia [emoji123]2004 uwanja wa taifa kulikuwa na shindano la basketball la watoto nikaibuka kinara nikaenda katika academy ya basketball Sweden (uswidi) timu ya watoto inaitwa sodertalje basketball academy baadae nikaenda boras u17.
Nilikaa Sweden kwa miaka 4 tu wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 17 nasubiria kuingia timu ya wakubwa ligi kuu sweden (Basketligan) nikapewa taarifa wadogo zangu 2 wamefariki kwa ajari ya moto ikanilazimu kurudi nyumbani kwa ajili ya mazishi baada ya msiba mzee na bi mkubwa wakatengana,,kifupi ndoto zangu ndio zilipoharibika sikuweza kurudi tena Sweden nikajikuta nachukia kurudi Sweden kumbe ndugu zangu walinipiga kipapai/juju walikuwa na wivu dhidi yangu kifupi jamaa walikuja mpaka Tanzania kunitafuta lakini juhudi zao zikagonga mwamba ndugu zangu wakasema huyu mtu amekuwa tahaira amepotea kumbe wakati huo nipo kijijini kwa mama simiyu tunapiga majaruba ya mpunga.
Kufupisha habari kipindi nipo boras academy kuna jamaa tulikuwa nae anaitwa Jonas jerebko baadae alienda NBA alichezea Boston Celtics na golden state sasa hivi ameflop yupo cska Moscow basketball kwa mzee putin.
Jina la Dr msweden nilipewa kutokana kuwa hodari katika mchezo wa basketball,pia ni Dr wa binadamu.
Bad memories.
Niko bombambili bossMngoni-kabila langu pendwa
Matimila- hii sehemu ni chimbuko na asili yangu pamoja na ukoo wetu wote
[emoji16][emoji16]Authority- jina la mshua kwa Kiswahili Madaraka. Enzi hizo tunaingia secondary tunajifanya tunajua kinge'eng'e tunajitambulisha majina tunageuza yaende kwenye English like
My name is Eve Authority
[emoji16] umetishaAwiaman ooza - napenda amapiano [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji102]
Sinywiii mie hata harufu yake siitaki kusikia.mpaka sahivi aunywiii ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizur sana aise [emoji16]
Wakunyumbaa tukonganike.Wangoni mmekutana
NaamMchikichini hapo kipindi napiga mapindi kwa hiden