Jina lako JF (ID) lina maana gani na kwanini umejiita?

Me mgaa gaa na upwa kaka πŸ˜‚ nakimbiza mtoto mwengine now mpaka kesho kutwa tunaachana naruka kwa mwengine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utafeli mkuu, komaa na mmoja hadi upate matokeo au uone milango imegoma kabisa kufunguka, ila kama hivi M R akiona una mambo mengi atapuuza jitihada zako zote.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utafeli mkuu, komaa na mmoja hadi upate matokeo au uone milango imegoma kabisa kufunguka, ila kama hivi M R akiona una mambo mengi atapuuza jitihada zako zote.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwenye hilo suala nishafeli natafuta back up nyingi nyingi situlii na mmoja never never πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

We na dosho12 endeleeni na mtu mmoja maana wenu wanaeleweka ila wangu ni shughuli shughuli πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…