Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Furaha
Baraka
Amani
SHujaa
Mwindaji
Bahati
Shibe
Mwanga
Nuru
Tanzania
Tanzanite
almazi
Rubi
SHaba
Uledi
Hari
Msomi
Majaliwa
Riziki
Neema
Rehema
 
Kuna majina kutokana na mjabila yetu
Labada taja maelezo fulani kuhusu jina halafu wakupe majina tokana na lugha za makabila yetu;
Mfano - mwenye nguvu (Mungu) - Gwamaka
 
Hii ngumu kwasisi tunaotaka tengeneza koo zetu
 
Inaonekana huna akili.
 
Muite Furaha,Amani,Zawadi,Waziri etc.Daaaa mimi wanangu nimewapa majina vyeo vya Jeshini,Nimeanza na General(Wakiume) ,na Lieutenant (Wakike).Sijabahatika wengine
 
Kaite ka
ONG'ONG'O
Kifupi: ONG'O

wewe: Baba Ong'o
Mkeo: Mama Ong'o

yaani katakuwa na jina very unique 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…