Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habari za uzima?
Poleni na mihangaiko ya kuendelea kulijenga taifa letu.
Wakuu naomba suggestion ya jina la mtoto wa kike zuri.
Ahsanteni.
Ila tuache utani majina yetu ya asili ndo yanapotea hivi.Tuwapatie watoto wetu majina ya asili yenye maana nzuri, inasaidia kulinda utamaduni wetu unaoelekea kupotea
Ulivyosema aitwe jina lako sasa!kwani ni original unalotumia kwenye vyeti??Unique Flower unacheka nini sasa
Yes ni jina langu natumia hiliUlivyosema aitwe jina lako sasa!kwani ni original unalotumia kwenye vyeti??
Nasikitika mkuuWakuu habari za uzima?
Poleni na mihangaiko ya kuendelea kulijenga taifa letu.
Wakuu naomba suggestion ya jina la mtoto wa kike zuri.
Ahsanteni.
Demi Moore?Yes ni jina langu natumia hili
duuh hadi hapo kwenye picha ni wewe mkuuYes ni jina langu natumia hili
Oh okay nilidhani nikama sisi jina feki kwa!ajili ya hukuYes ni jina langu natumia hili
Femi, upendo, zawadi, machibya, sipho etcIla tuache utani majina yetu ya asili ndo yanapotea hivi.
Mkuu embu weka majina ya asili
Kifaruhende si zuri ili mkuu?
Aisee nimeshangaa snMtoto wako jina utafutiwe. Smh