Jinamizi la kuchelewa kuzaa na kuolewa linavyotesa wanawake

Pointi yako sasa hapa ni nini Mama Mchungaji? 😳😳😳
Kwamba sbb ziko nyingi sio Kila aliyetoa hapati mtt,
Kuna waliotoa sana na Bado wanazaa tu bila shida🀷
Na Kuna sister namfaham alikuwa hata kushika hiyo mimba hajawahi alipoolewa kakaa 12 yrs ndo kapata 🀣
 
Hizo stories za Bible nyingi ni fix tupu.

Dr. James Kugel kaelezea vizuri sana, kisomi, katika "How To Read The Bible: A Guide To Scripture Then And Now"

 
Kama yale ma vampire ya kwenye hadithi, manyonya damu yanayotaka damu za watoto.

Yanakulazimisha uzae ili yapate damu za watoto 🀣🀣
🀣🀣🀣 ukiwa una unga unga maisha na huna watoto ndio unashauriwa upate watoto ili mteseke wote, utasikia unakula bata / unapendeza kwa sababu hauna majukunu, yani ili mradi upauke tu🀣
 
Wengine Mimba zikifika 6 months lazima zitoke mwanamke akifanikiwa kujifungua salama mtoto hafikishi miezi kadhaaa !

Wachawi sio watuuuu
 
Facts
 
Kwani kuolewa na kuzaa ni lazima?

Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?
Hivi unafikiri Putin kutawala Urus amelazimishwa au ni mapenz yake ?
 
Nasikia aga tu kama stories za vijiwen ,hiz mambo sikuwah kujua kama uchawi upo mkuu.
 
🀣🀣🀣 ukiwa una unga unga maisha na huna watoto ndio unashauriwa upate watoto ili mteseke wote, utasikia unakula bata / unapendeza kwa sababu hauna majukunu, yani ili mradi upauke tu🀣
Kuna mjamaa India aliwashitaki wazazi wake kwa kumzaa bila yeye kutoa idhini.

Labda na hawa watu wasiotaka kuzaa wanaogopa kushitakiwa na watoto wao kwa kuwazaa bila idhini zao.

 
Mungu alitaka kumuonyesja kuwa ye hasaidiwi🀣
Akili yake ilipoishia ndo Mungu akafanya yake
 
Dada donatila eee, hapo kwenye enibiiii ndio jibu la changamoto zoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Hili la kukosa watoto kwenye ndoa kama limeegemea upande mmoja kwa nilivyoona mm,maana shida zingine chanzo n Mwanaume.
 
Kibongo bongo utaachiwa laana mkuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…