Mizimu ni wafu yaani watu waliokufa...Mama mchungaji Hivi hii mizimu inakuaje kuaje???
Nakumbuka niliambiwaga mizimu yetu Ina nguvu sana hakuna mchawi ataeweza kunidhuru na hata waliojaribu kunidhuru walishindwa..
Hapo nilikua kanisani!
Donatila
Kweli upo sahihi sasa wanaume wa hivi wapo wachache SanaNdo nilichomwambia sio issue ya pesa tu.
Umeniomba, nakupa ukichokiomba.Bora leo umejibu vzr. Maana hukawii kuanza kuleta hoja zko za kitoto.... Kwamba uchaw hakuna mizimu hakuna sjui thibitisha km uchaw upo leleleee sjui nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema mwamba huwa unazngua sn
.... Anyway narud kw mtoa mada uchaw / nguvu za giza znatesa sana wanawake kwny ishu za uzaz
Kwa imani tuseme Mungu awatie nguvu washinde uchaw nakupata hitaj lao km watoto na ndoa bora
Love Hivi ikitokea ukaona moto unawaka ghagla kitandani from nowhere tu utafanyeje?🤠🤠🤠🤠Itapendeza sana...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Kama kuna mambo ambayo yamekuwa ya yakiwatesa na kuwasumbua wanawake ni kuchelewa kuolewa na kuchelewa kuzaa.
Tukianza na hili jinamizi la kuchelewa kuolewa limekuwa tatizo kwa baadhi ya wanawake na mpaka basi.
Wengine wanafikia hatua ya kutafuta wanaume hata wa kuishi nao ili tu wafiche hiyo aibu ya kuchelewa kuolewa.
Hii ya kutafuta wanaume wa kuishi nao inaitwa sogea tukae au uchumba sugu.
Kuna wanaotafuta vijana na kuwaoa ili tu kuondoka na jinamizi la kuchelewa kuolewa na wanaume.
Achana na hilo jinamizi linalowachelewesha wanawake kuolewa, twende kwa wale ambao wanaolewa ila wanachelewa kuzaa yaani kupata watoto.
Jinamizi hili limekuwa gumzo huko duniani yaani wanawake wanavizazi ila hawashiki mimba, wanakipima hawana tatizo.
Pia kuna wale wanawake ambao wanamatatizo ambayo ni ya kujitakia wao wenyewe wanajua walivyokula ujana wao.
Yaani wanawake hao walikaanga mayai yao na kwa bahati mbaya wakayaunguza kwa kutoa mimba, hivyo hawakuweza kuyala yaani kuzaa watoto.
Kuna wanawake wengine matatizo yanatoka na uchawi/ Mizimu na uganga.
Wanawake hawa wanakuwa wanao uzazi ila uzazi wao umefungwa kwa vifungo vya nguvu za giza hivyo hawawezi kuzaa.
Vifungo hivi vya wanawake vimekuwa vinatofautiana maana wengine ni uchawi wa ndugu au wazazi au jirani hata rafiki.
Kuna wanawake ambao mizimu ya upande wa mama au baba inakuwa inawazuia wanawake kupata watoto kutokana na agano waliloingia ukoo wao.
Kuna wanawake ambao ambao wengine wamefungwa na uganga, inaweza kuwa ni chuki ya ndugu marafiki hata jirani.
Hayo ni baadhi ya majinamizi yanaoyowakumba wanawake kuchelewa kuzaa na kufikia kuteseka sana.
NB: Kuna wanachelewa kuzaa au kuolewa kwakuwa wakati wa Mungu bado.
Kwa Yesu yote yanawezekana...
Donatila
Mimi nitachukulia kama hallucinations...Love Hivi ikitokea ukaona moto unawaka ghagla kitandani from nowhere tu utafanyeje?🤠🤠🤠🤠
Hakuna switch hakuna jiko wala kiberiti ila unaona Moto
Huku chumba kizima kinavibtare🤠🤠🤠 kitanda kinarukaruka ??? What will you do??
Smart911 naimagine utavokimbia na Mlango usiuone ujikojolee😁😁😁😂😂😂😂🤣Love Hivi ikitokea ukaona moto unawaka ghagla kitandani from nowhere tu utafanyeje?🤠🤠🤠🤠
Hakuna switch hakuna jiko wala kiberiti ila unaona Moto
Huku chumba kizima kinavibtare🤠🤠🤠 kitanda kinarukaruka ??? What will you do??
Kwanza kabisa, wanawake wote hawako sawa.Ungejua wanavyoteseka wenyewe usiamini wanavyokuaminisha nje
enhe, fafanuaSijui kwanini mimi naona most of kids in our continent are miserable
Sio kweli kwamba wanawake wanaojiweza wengi kuliko wanaumeUzao wa kiume umepigwa....
Jamii iliwekeza sn Kwa mtt wa kike,wakasahau kabisa kuwa mtt wa kiume ndo 'mbegu" ndo mbeba uzao wa kizazi kimoja kwenda kingine..
Matokeo ndo haya ss ,wanawake wanaojiweza wengi, wanaume wachache sn!
Haukuunguzi yani unawaka unazima unawaka unazima kama mara tatu then kunakua kawaida!Mimi nitachukulia kama hallucinations...
Mind tricks...
Je huo moto unakuunguza au basi tu umewaka...
Nimeishi miji na majiji kibao ila sijawahi kukutana na hivyo vitu...
Hata siku moja...Smart911 naimagine utavokimbia na Mlango usiuone ujikojolee😁😁😁😂😂😂😂🤣
Joking madam.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee!
Umenigeuzia mada
Wanawake wakileo kwao mwanaume anaejielewa ni mwenye hela ndo maana ndo maana hawaishi kupigwa matukio wa watoto wa mjini wanaofake lifeMwanaume anaejielewa ndo mwenye hela au?
Ila yale mambo na Ile hali ulijitakia mwenyewe Kwa ubishi wako...Haukuunguzi yani unawaka unazima unawaka unazima kama mara tatu then kunakua kawaida!
Hapo unavokua unawaka na chumba kinavibtare mtoto mdogo kachanga analia huku anajinyonga nyonga kama mtu anaetolewa mapepo!
Wachawi sio watuu smart!