Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
- Thread starter
- #141
Mizimu ni wafu yaani watu waliokufa...Mama mchungaji Hivi hii mizimu inakuaje kuaje???
Nakumbuka niliambiwaga mizimu yetu Ina nguvu sana hakuna mchawi ataeweza kunidhuru na hata waliojaribu kunidhuru walishindwa..
Hapo nilikua kanisani!
Donatila
Roho zao zinakuwa zinaishi Bado zinatumikishwa kufanya matukio mabaya.
Matukio hayo ni kama kuua, kuharibu mimba, kufunga uzao, pesa nk..
Mizimu ni uchawi uliotukuka yaani mizimu ni zaidi ya uchawi ..
Wazee wa zamani waliitumia kwa kuiomba kama Mungu, pia walitoa sadaka..