Jinsi ambavyo bwana Denis anateseka na ndoa yake ya kufosi labda malaika pekee ndio waingilie kati!

Vitu vingine vinatia sana hasira. Haiwezekani mtu ukubali kustressika kwa jambo lenye suluhu. Ukipenda usipopendwa waachie wanaopendwa mkuu.
Alafu mbaya zaidi na mwili anapungua, rafiki wameshajua kuwa jamaa yuko kwenye stresses nzito naye anakiri kabisa kuwa ni Mambo ya kifamilia alafu hachukui hatua. Binafsi rafiki wa design hiyo itafikia kipindi ataona kama namtenga maana hafuati ushauri utakaompa AHUENI katika maswahibu yake zaidi yakunipa stresses na mimi kuona rafiki yangu anateseka alafu no kichwa maji.
 
anataka mtoto wake apate shida akiwa kaburini,mkumbushe ukishakufa hamna tena kumbukumbu kwamba uliacha mtoto
kwa stress hizo na anavyolazimisha mapenzi basi anajichimbia kaburi
muoneshe comment mwambia anakufaa
 
Huyo jamaa yako itakua bado mgeni humu duniani, mwache anyooshwe kwanza.
Swadakta,

Ndo anaanza maisha kabisa tatizo anakataa kujifunza.

Baharia wa kisasa ni kazi, gambe, totoz hadi mwisho wa nyakati.

Hakuna love siku hz.
 
Nnachojua mimi mapenzi ni ya wawili tu, wawili yani....wapendane wagombane wavurugane hata waachane ila hayo yote ni ya wawili tena usijichanganye kutoa ushauri wa kuachana usithubutu. Wakichokana wataachana wenyewe Denis asishauriwe chochote
Nakazia🤣
 
Mmh
 
Hahaha nimecheka sana.
Amroge tu hakuna namna mbinu mujadidi wajada. Amuroge kwerikweri 😬😬😬 atoe mpaka njia ya wa tigray
 
Ukitaka kumkomesha Mswahili muwekee jambo kwenye maandishi 😅
 
Bora uoe ukiwa huna hela tu mwanamke ajue mmependana hivyo hivyo Mungu akijalia mtawini.

Ila kuokota haya ma slay queen anataka ahudumiwe kuanzia akiamka na mswaki hadi mda anakung'uta miguu kupanda kitandani ni kujitaftia presha ya moyo tu.
NAKAZIA HAPA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…