Jinsi biashara ya kondomu ilivyonifilisi mwaka 2003 huku motivational speaker akiwa kisababishi

Mkuu ulitaka kujiua kwa sababu ya laki tano!!??? Chai hii...
mkuu umemsoma vibaya mbona maelezo yake ameandika kwa tarakimu kwamba alichukua mzigo wa condom wa million 4.! hapo ilikuwa lazima adate na kama angekuwa kweli hii story yake huo mzigo baada ya kudoda angeenda kuuza kwenye guest house na lodge hata kwa nusu bei ila kwakuwa ni chai hii sio kesi.
 
Sasa ulikopa milioni 4 au laki 4?

Pole sana...😁
 
Hahaha mkuu watu wengi wananunua condom kama dawa za kulevya. Huwez anzisha duka la condom tu utegemee utauza sana maana watu wataogipa kuingia kwa kuwa kila anayeingua anajulikana kaenda nunua condom.
Watu ni wazinzi ila hawataki kujulikana
Hahaha πŸ˜‚ aise ilikuwa hasara kubwa sana
 
Hii ni true story kabisa.

Sina jadi ya kudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…