πππsio mimi mkuuNyie machalii mnaeleweka nyie si huwaga mna hesabu za mbali sana
Ungeuza GongoIlikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational π siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Nimekusamehe ndugu yanguπππsio mimi mkuu
Laleni nyie bado ni watoto wadogo mkuuπNimekusamehe ndugu yangu
Motivational speaker aliniambia badilisha changamoto kuwa fursa na UKIMWI nikauchukulia kama fursa itakayonitoa kiuchumi.Ungeuza Gongo
Usilaumu yeyote bali mwenyewe kwani, uliponzwa na ujinga na umalaya mwanangu.Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational π siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
secretarybird angalia mazarau haya mkuuLaleni nyie bado ni watoto wadogo mkuuπ
Ama kweli nilikuwa mpumbavu Sana mkuu wala siyo Siri.Usilaumu yeyote bali mwenyewe kwani, uliponzwa na ujinga na umalaya mwanangu.
Mwache ajifurahishe, ameshasahau kuwa alitoka kiunoni mwangu.secretarybird angalia mazarau haya mkuu
Daah walikuingiza chakaMotivational speaker aliniambia badilisha changamoto kuwa fursa na UKIMWI nikauchukulia kama fursa itakayonitoa kiuchumi.
Kila ninapokumbuka tukio lile ghafla huwa nakuwa mnyonge mpanka watu wananionea huruma.Daah walikuingiza chaka
Bangi unazovuta now , zinataka kukufikisha mbali mkuuπMwache ajifurahishe, ameshasahau kuwa alitoka kiunoni mwangu.
Atambue ya kuwa sisi ni wakubwa sana.
Mamodinyo baninyo πMkuu tupe experience kidogo hali ilivyokuwa.
Noma Sana mkuuMamodinyo baninyo π
hivi hizo tarakimu unaziandikaje?Ilikuwa asubuhi na mapema nilifungulia redio moja maarufu sana hapa nchini (jina kapuni), mara akasikika motivational speaker mmoja (naye jina kapuni) akisema:-
"ukitaka kufanikiwa kimaisha angalia changamoto inayoikumba jamii yako then igeuze kuwa fursa halafu jikite kwenye biashara moja yaani kama unauza mandazi komaa na biashara ya mandazi mpaka pale mtaji wako utakapoongezeka".
Mwamba nikakafikira changamoto iliyokuwa inaikumba jamii yangu nikagundua ni ugonjwa wa UKIMWI, kimoyo Moyo nikajisemea "naamzisha duka la kondomu.
Nikaenda benki kuchukua mkopo wa kuanzisha duka la kondomu, nakumbuka ilikuwa 5000,000. Nikaagiza mzigo wa 4000,000 biashara ikaanza lakini wateja hawakuwa wengi kivile.
Kwa hakika kujosekana kwa wateja kulichosababisha Ku expire kwa bodhaa (kondom) hivyo nilifilisika, nililia Sana mpaka nilitamani kujinyonga lakini kwa bahati nzuri nilienda kuomba ushauri kwa baba paroko akanishauri na nikaendelea na maisha mengine.
Motivational π siyo watu wa kuwasikiliza kabisa.
Monetary doctor Poor Brain Nomadix holoholo .
Milioni tana (5,000,000), milioni nne (4,000,000).hivi hizo tarakimu unaziandikaje?
sasa yeye alivyoandika utachekaMilioni tana (5,000,000), milioni nne (4,000,000).
Simple like that!
Aliandikaje kwaniπ€£πsasa yeye alivyoandika utacheka
angalia tu uone ipoweka commaAliandikaje kwaniπ€£π