Jinsi biashara ya kondomu ilivyonifilisi mwaka 2003 huku motivational speaker akiwa kisababishi

Haha hichai aise, kama ni kweli ungetakiwa uweke kwenye location sahihi na uzigawe kwenye matawi ya nzima ungetoboa, kuliko kuuza mtaani eti kwenye duka moja ndom za M4 babaki dah ulifurahisha sana watuaise hapo kita
 
Kuna kijiji kimoja kupo masasi wewe kama ni mgeni kwenye kijiji cha ukienda dukani kununua condom hawakuuzii mpaka useme mpenzi wako ni nani?
 
Hahaha mkuu watu wengi wananunua condom kama dawa za kulevya. Huwez anzisha duka la condom tu utegemee utauza sana maana watu wataogopa kuingia kwa kuwa kila anayeingia anajulikana kaenda nunua condom.
Watu ni wazinzi ila hawataki kujulikana
Hata maduka ya chupi
 
Hicho ni kiasi gani mkuu
 
Hawa jamaa ni wapuuzi sana, kuna moja anaitwa Mauki yeye kazi yake kudanganya watu.

Sasa hivi sikubali kudanganywa tena, akadanganye watoto wake.
Huyo mauki nimewahi achana na pisi yangu kisa huyo jamaa , manzee haelewii kitu Kila kitu anafanya references kwa mauki nikaona this is shithole from unscrupulous woman how Kila kitu anarejea huyo tukachana amekuja kujua miaka hii kuwa alikuwa mpuzi
 
Huyo mauki nimewahi achana na pisi yangu kisa huyo jamaa , manzee haelewii kitu Kila kitu anafanya references kwa mauki nikaona this is shithole from unscrupulous woman how Kila kitu anarejea huyo tukachana amekuja kujua miaka hii kuwa alikuwa mpuzi
Jamaa yangu aliwachukia wazazi wake kisa wanapendelea kumrejelea dogo mmoja anaitwa Joel Nanauka katika Kila wanachosema πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yani ulichukulia kondomu ni kama chaja au USB ? Kwa kuanza tu ukaweka 4m kama vile una experience na hiyo biashara asee ulitanguliza maslahi na siyo ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…