Jinsi biashara ya real estate, madini na kilimo kinavyozidi kunitajirisha japo mie ni darasa la saba na nipo chini ya miaka 30

Jinsi biashara ya real estate, madini na kilimo kinavyozidi kunitajirisha japo mie ni darasa la saba na nipo chini ya miaka 30

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Japo nimeishia darasa la saba na umri wangu chini ya miaka 30 na sikuweza au nilikataa kuendelea na elimu baada ya kuona ya kwamba elimu ya Tanzania ni ya hovyo nikaamua kuingia street kupambana na maisha.

Nilitoka nyumbani kwetu Mtwara nikajichimbia mkoa wa Kahama kwenye uchimbaji madini miaka hiyo ya 2010 na kweli Maadini yakanipa pesa za kutosha at that time nilikamata milioni 50 kwenye mshindo mmoja aisee sikuweza kuamini.

Baada ya hapo nikaweza kuinvest zile pesa zangu kwenye kilimo huko maebeo ya Kahama, Sikonge, Mpanda, Sumbawanga na sehemu nyinginezo za kanda ya ziwa hapa sasa nilipo ninamiliki mijengo ya real estate Dodoma, Mwanza na Kahama.

Ajabu sasa wale washikaji waliokuwa wananicheka baada ya mimi kuacha shule ndiyo hao hao wananipiga vizinga ya hela ya pombe na chakula nyumba kwao.

Waajiriwa na wasomi wa nchi mna hali mbaya na mtazidi kuwa na hali kama msipofikiria nje ya box mtaendelea kuwa masikini hivyo hivyo ila shida nyie hamjielewi hata
kidogo.

Ona sasa mie kijana niko 26 nina zaidi ya milioni 500+ kwenye akauti ila nyie hata 40000 kwenye akauti zenu ni mtihani mnalia madeni kila siku.

Nyie endeleeni kuwekeza kwenye majungu, chuki, fitina na uzandiki mtajua wenyewe.
 
Uongo
Screenshot_2023-11-08-11-16-10-887_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Back
Top Bottom