Jinsi biashara ya real estate, madini na kilimo kinavyozidi kunitajirisha japo mie ni darasa la saba na nipo chini ya miaka 30

wenyewe sikuizi hawana hela na wao. wamegeuka kua motivational speakers tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
Pesa mwana haramu inaponyoka mpk freemasons!,ila wewe najua akaunti yako inasoma miamala Tena inasoma M...😁
 
Nilivyoanza kusoma nikawa najisemea mimi nimekuja kufanya nini duniani hapa kama hali yenyewe ndo hii🀣🀣🀣... kumbe alishawahi hadi kufanya mapenzi poriniπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€­
Ebana yani ilibaki kidogo tu nikamwashie bebi moto heee kumbe fix tupu🀣🀣🀣🀣
 
Japo nimeishia darasa la saba na umri wangu chini ya miaka 30 na sikuweza au nilikataa kuendelea na elimu baada ya kuona ya kwamba elimu ya Tanzania ni ya hovyo nikaamua kuingia street kupambana na maisha

Nilitoka nyumbani kwetu Mtwara nikajichimbia mkoa wa Kahama kwenye uchimbaji madini miaka hiyo ya 2010 na kweli Maadini yakanipa pesa za kutosha at that time nilikamata milioni 50 kwenye mshindo mmoja aisee sikuweza kuamini

Baada ya hapo nikaweza kuinvest zile pesa zangu kwenye kilimo huko maebeo ya Kahama, Sikonge, Mpanda, Sumbawanga na sehemu nyinginezo za kanda ya ziwa hapa sasa nilipo ninamiliki mijengo ya real estate Dodoma, Mwanza na Kahama.

Ajabu sasa wale washikaji waliokuwa wananicheka baada ya mimi kuacha shule ndiyo hao hao wananipiga vizinga ya hela ya pombe na chakula nyumba kwao

Waajiriwa na wasomi wa nchi mna hali mbaya na mtazidi kuwa na hali kama msipofikiria nje ya box mtaendelea kuwa masikini hivyo hivyo ila shida nyie hamjielewi hata
kidogo

Ona sasa mie kijana niko 26 nina zaidi ya milioni 500+ kwenye akauti ila nyie hata 40000 kwenye akauti zenu ni mtihani mnalia madeni kila siku.

Nyie endeleeni kuwekeza kwenye majungu, chuki, fitina na uzandiki mtajua wenyewe.
Mods futa uzi,hawa ndio wanatuharibia watoto wetu hawataki shule...
 
Hongera sana lakini elewa kwamba kuna neema za Mungu kwenye haya maisha. Usijione wewe ni Mwamba sana kuliko wengine.😑😑😑

Halafu Wewe sio std 7 unazingua Wewe ni form four ambaye hauna cheti. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maneno kidogo vimbao vingii.
Screenshot_20231108-122944.jpg
 
Sasa wewe mpuuzi ulishindwa nini kutumia ID mpya ili utembee na kijiji?..πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Back
Top Bottom