Jinsi biashara ya real estate, madini na kilimo kinavyozidi kunitajirisha japo mie ni darasa la saba na nipo chini ya miaka 30

Ni matesooo😂
😁😁😁
Naona mleta huu uzi kamuiga yule Mshikaji Dereva wa Uber aliyekutana na Pisi kali za Kishua na Yeye kaja na huu uzi wake kutafuta attention za watu humu. Vijana wadogo akili zimeshaanza kuchoka hata miaka 30 hawajafikisha 😅😅
 
Tuwasamehe tu bhana.. wapo kutufurahisha😊
 
Japo nimeishia darasa la saba na umri wangu chini ya miaka 30 na sikuweza au nilikataa kuendelea na elimu baada ya kuona ya kwamba elimu ya Tanzania ni ya hovyo nikaamua kuingia street kupambana na maisha

Nilitoka nyumbani kwetu Mtwara nikajichimbia mkoa wa Kahama kwenye uchimbaji madini miaka hiyo ya 2010 na kweli Maadini yakanipa pesa za kutosha at that time nilikamata milioni 50 kwenye mshindo mmoja aisee sikuweza kuamini

Baada ya hapo nikaweza kuinvest zile pesa zangu kwenye kilimo huko maebeo ya Kahama, Sikonge, Mpanda, Sumbawanga na sehemu nyinginezo za kanda ya ziwa hapa sasa nilipo ninamiliki mijengo ya real estate Dodoma, Mwanza na Kahama.

Ajabu sasa wale washikaji waliokuwa wananicheka baada ya mimi kuacha shule ndiyo hao hao wananipiga vizinga ya hela ya pombe na chakula nyumba kwao

Waajiriwa na wasomi wa nchi mna hali mbaya na mtazidi kuwa na hali kama msipofikiria nje ya box mtaendelea kuwa masikini hivyo hivyo ila shida nyie hamjielewi hata
kidogo

Ona sasa mie kijana niko 26 nina zaidi ya milioni 500+ kwenye akauti ila nyie hata 40000 kwenye akauti zenu ni mtihani mnalia madeni kila siku.

Nyie endeleeni kuwekeza kwenye majungu, chuki, fitina na uzandiki mtajua wenyewe.
Hoo 500+ ni mbsli na nyumba na mashamba. Ina maana ukivij8mlisha vyote una bilioni kadhaa. Da
Sasa hivi upo 26 je 2010 ulikuwa ma muaka mingapi ? Hesabu insonesha ulikuwa na miaka 13.
Ndani ya miska 13 umeweza kuwa bilionea.
 
😂 😂 😂
Fahari ianzie kwako kwanza sio kuja mtandaoni kuwafurahisha na kuwaringishia watu mambo au vitu usivyokuwa navyo. 😂😂😂
Asa mtu si anaamua tu kujifurahisha jamani😃😂
 
Kumbe matajiri wa la saba mna swaga sana, nilifikiri ni king Msukuma pekee ndo huwa anatolea povu wasomi.
 
tembo man haffi ruined dis bomboclat bway career
 
Safi sana huwezi kua maskini mitandaoni na kwenye real Life.

Halafu Kahama sio mkoa wewe darasa la saba .
 
Japo nimeishia darasa la saba na umri wangu chini ya miaka 30 na sikuweza au nilikataa kuendelea na elimu baada ya kuona ya kwamba elimu ya Tanzania ni ya hovyo nikaamua kuingia street kupambana na maisha.

Nilitoka nyumbani kwetu Mtwara nikajichimbia mkoa wa Kahama kwenye uchimbaji madini miaka hiyo ya 2010 na kweli Maadini yakanipa pesa za kutosha at that time nilikamata milioni 50 kwenye mshindo mmoja aisee sikuweza kuamini.

Baada ya hapo nikaweza kuinvest zile pesa zangu kwenye kilimo huko maebeo ya Kahama, Sikonge, Mpanda, Sumbawanga na sehemu nyinginezo za kanda ya ziwa hapa sasa nilipo ninamiliki mijengo ya real estate Dodoma, Mwanza na Kahama.

Ajabu sasa wale washikaji waliokuwa wananicheka baada ya mimi kuacha shule ndiyo hao hao wananipiga vizinga ya hela ya pombe na chakula nyumba kwao.

Waajiriwa na wasomi wa nchi mna hali mbaya na mtazidi kuwa na hali kama msipofikiria nje ya box mtaendelea kuwa masikini hivyo hivyo ila shida nyie hamjielewi hata
kidogo.

Ona sasa mie kijana niko 26 nina zaidi ya milioni 500+ kwenye akauti ila nyie hata 40000 kwenye akauti zenu ni mtihani mnalia madeni kila siku.

Nyie endeleeni kuwekeza kwenye majungu, chuki, fitina na uzandiki mtajua wenyewe.
Wewe unamiliki sanasana mti wa mkorosho...hakuna mwenye pesa anaweza kuandika upumbavu huu
 
Kah hili jamaa liongo Sana aisee au Kuna manufaa anapata kutokana na uongo wake?
 
Japo nimeishia darasa la saba na umri wangu chini ya miaka 30 na sikuweza au nilikataa kuendelea na elimu baada ya kuona ya kwamba elimu ya Tanzania ni ya hovyo nikaamua kuingia street kupambana na maisha.

Nilitoka nyumbani kwetu Mtwara nikajichimbia mkoa wa Kahama kwenye uchimbaji madini miaka hiyo ya 2010 na kweli Maadini yakanipa pesa za kutosha at that time nilikamata milioni 50 kwenye mshindo mmoja aisee sikuweza kuamini.

Baada ya hapo nikaweza kuinvest zile pesa zangu kwenye kilimo huko maebeo ya Kahama, Sikonge, Mpanda, Sumbawanga na sehemu nyinginezo za kanda ya ziwa hapa sasa nilipo ninamiliki mijengo ya real estate Dodoma, Mwanza na Kahama.

Ajabu sasa wale washikaji waliokuwa wananicheka baada ya mimi kuacha shule ndiyo hao hao wananipiga vizinga ya hela ya pombe na chakula nyumba kwao.

Waajiriwa na wasomi wa nchi mna hali mbaya na mtazidi kuwa na hali kama msipofikiria nje ya box mtaendelea kuwa masikini hivyo hivyo ila shida nyie hamjielewi hata
kidogo.

Ona sasa mie kijana niko 26 nina zaidi ya milioni 500+ kwenye akauti ila nyie hata 40000 kwenye akauti zenu ni mtihani mnalia madeni kila siku.

Nyie endeleeni kuwekeza kwenye majungu, chuki, fitina na uzandiki mtajua wenyewe.
Kweli wewe ni darasa la saba...mkoa wa Kahama ndo upi??
 
Back
Top Bottom