Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nashukuru kuna mtu kanifundisha namna ya kublock/ignore, usitukane mtu kama anakukera just ignore, matusi hayapendezi [emoji120]
Mkuu insider mim ni miongon mwa watu wanaofuatilia na kunufaika na hii story.
Sio watu wote hum wamesoma fasihi au wanaielewa fasihi . Kwa Sisi wanafasihi hatuna Shida na ukweli au uongo wa simulizi muhim tunatambua story inapaswa kubalance pande mbili za fasihi yaani fani na maudhui.

Simulizi inapaswa kubalance vyote fani na maudhui kitu ambacho wewe unakimudu Sana.

Ujumbe tunapata na burudani tunapata.

Unaposimulia story haimaanishi utaandika kila kitu isipokuwa utachagua matukio yapi uweke na yapi usiweke.
 
Ndugu mwandishi na wasomaji,hawa wa kupinga hawakosekani na njia rahisi ya kupambana nao ni kuignore comments zao. Akiandika iache bila kucomment chochote mwisho wa siku ataona ananuka kinyesi na bila shaka ataacha mwenyewe. Mtu akipinga wala msiandike chochote.Muache aandike hata mara 20,msijibu chochote
 
Shida ya jf kila mtu msomi,mjuaji,tajiri,ana connection,ana pisi kali,katembea abriad yaani ana kila kitu. Tatizo linaanzia hapo na ndipo wakosoaji walipo kwenye makundi hayo. Mleta story tusamehe kwa niaba yao na tunashukuru kwa uamuzi wako wa kuendelea na story.
 
Nakusihi tena ndugu mwandishi utakaporudi na hizo episodes zako hakikisha unaandika vitu vya kweli usitufanye watu wajinga hapa, yaani tukae tusome story tukiamini tunajifunza kumbe wewe unatudanganya hilo halitakubalika.
Tukiza kitenesi hujalazinishwa kusoma Uzi huu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mimi kaniacha hoi tu kwamba mzungu ilibidi ampigie Irine magoti actually hawa jamaa hawana culture hiyo.Insider jitahidi kukoleza na uhalisia ili.kweli ifananie na hiyo unayoiita true story.
 
Karibu Arusha mkuu
 
LAST WARNING!

Hassan Killo, ukiendelea kusumbua naweka hapa picha zako hadharani wakuone. Kuna hii moja umepiga ufukweni, na mapozi yako ya kuvunia pamba!

Kua makini dogo, dunia ni kijiji hii.
hahahahaha! Uwiiiiii, ebu wasaidie mods naona wanamlea hassan killo, nafkri ukiweka picha hatorudi tena.,. Mam*qe
 
Mimi kaniacha hoi tu kwamba mzungu ilibidi ampigie Irine magoti actually hawa jamaa hawana culture hiyo.Insider jitahidi kukoleza na uhalisia ili.kweli ifananie na hiyo unayoiita true story.

Mjomba ulikuwepo eneo la tukio???If yes Mzungu aliombaje msamaha?
 
Eoisode zote kisha ukianza kuachia unaachia tu
 
Weweeeeeeeee walete nakubali bro
Watu wanashindwa kuelewa sisi tunajifunza kupitia story hiz za jf
 
Kwanza kabisa asante kwa kubadili mawazo yako na kutuheshimu kwa kuendelea na story kaka. Be blessed

Kuhusu hizo opt we angalia tu namna ambayo hutotuacha na arosto ya muda mrefu

Ila nadhani hii ya kutupia kila siku iko vizuri zaidi kama ulivokua unafanya
 
LAST WARNING!

Hassan Killo, ukiendelea kusumbua naweka hapa picha zako hadharani wakuone. Kuna hii moja umepiga ufukweni, na mapozi yako ya kuvunia pamba!

Kua makini dogo, dunia ni kijiji hii.
ndo ndugu yake na Juma killo? 🤣🤣🤣
 
Usipovuta ugoro unakuaga na akili sana dakitare
 
Acha unafiki, kujiona na ujuaji.

Mtu kaleta kisa chake wewe unajua nini kwa yaliyomtokea?!
Iwe kweli Au uongo. Kwa nini unachagua kuwa ni uongo, kwa nn usichague kuwa ni ya ukweli Au Fanya hivi potezea iwe kweli Au uongo.
Sina maisha magumu dada, nilichonacho kinanifanya kuwalipa watu 30 mishahara na wanahudumia familia zaoView attachment 2703007
 
Sasa unatakiwa uniombe kama wenzio walivyokuja pm kuniomba niache jamaa aendelee na story, bila ya kuniomba nitaendelea kuwatetea walaji wa humu jf wasiokuwa na uwezo wa kusema.
Ila we kajamaa ni masikini sana hadi fikra za kimaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…