Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Tena wasichezee kabisa kuleta story za uongo hapa, matukio ya uongo halafu watu wanakenua tu. Mimi nitakuwepo kutwa nzima hapa kuhakikisha jamaa haleti uongo wake hapa.
salute!!!! Tukipata watu kumi wenye fikra pevu kama ww,,angalau chai zitapungua umu jf..
 
kataa uongo!!
Kataa chai!!
Chai peleka fb!!
 
Insider tunashukuru kwa kukubali kumalizia story yetu. kwa jinsi hali ilivyochafuka humu ni bora uandike story yote kwa episodes zote mpaka mwisho kisha uziweke zote kisha waache wachawi waendelee kuwanga.. ila ni vema ukatuambia unaziweka lini ili watu wakae stand by..
 
Chuki hupofusha.
Huo msemo umebeba maana kubwa sana kwani kupitia comment za ndugu zetu hawa wanaojiita wakooaji wasiopenda uongo, unaona kabisa namna gani na kwa kiwango kipi wamejawa na chuki isiyo kipimo. Kama unaona ni uongo, basi pita hivi na usisome kwani haikupendezi kudanganywa ila ukumbuke kuna wenzako wanasoma na wanafurahia kwani inawapa relief na elimu kwa wakati mmoja.
Niwaombe hao wanaojiita wakosoaji, msiharibu uzi wa mtu kutokana na chuki zenu zenu za kipuuzi kwani hakuna aliyewalazimisha kusoma na kupoteza muda wenu bure kwenye kitu ambacho mmegundua kuwa ni uongo. Tuacheni sisi wadanganyika tuendelee kudanganywa kwani ndiyo mazoea yetu na imegeuka tabia.
 
Kwqni tatuzo ni nini hata kama tukidanganywa?? Kina chochote anapunguza mifukon na akilini mwetu?? Kwann ww usiendelee na mambo mengine unayoona ya ukweli ukaachana na hili dogo la uongo!!
 
Wapi nimesema naumia, hilo nilitolea mfano wa moja kati ya mambo yanayoonyesha udanganyifu wa wazi, kama umetekwa na story ni wewe mkuu ila sisi wengine hatuko hivyo tunahoji palipo na sababu ya kuhoji.
Wengine kina nani, kwa nini unajipa uhalali wa kiwasemea wengine, jisemee mwenyewe usitafute kichaka cha "wengine". We jamaa unaonekana una mambo ya kijinga kabisa.
 
Personal attack haitasaidia kunirudisha nyuma, mimi nacritisize uzi wewe unaleta mambo binafsi. Kwa kuwa mna arosto na story basi jiungeni kumbembeleza msimulizaji aendelee ila sharti awe mkweli, akiweka chumvi tu mimi huyu hapa.
Bora mzee wako angetumia condom tu, kwa kutokutumia kwake kaleta shida duniani.
 
JF Inahitaji uvumilivu na “restrain”.
Kimsingi novels tusomazo ni 99% fiction. Sioni tofauti Kati ya fiction na real katika hadithi.
Lazima uwe na kipaji kikubwa kuandika story kama hii. Tunabeza lakini binafsi nawapa kongole watunzi na waandishi wa hadithi, be it real or fictional.

Inatia dosari muandishi/mtunzi wa hii story ku-mind kelele za chai/true story, because it makes no difference so long as the majority of your readers wameipenda.
I would like to advise INSIDER to ignore JF sadists.
 
Sio uliishi mkuu. Bado unaishi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tuendelee kula kimasiahara.
 
Bro endelea haters hawakosekani tonatofautian kiakili ila kuna sisi wengine tunajifunza mengi sana kupitia stori yako tunakuombz tuendelee na stori tumalizie
 
Hassani Killo,me nadhani ungetulia tu uache uzi wa watu uendelee
 
Usipovuta ugoro unakuaga na akili sana dakitare

Valeee, kuna watu wako na stress za maisha sasa wakiwa nyuma ya keyboard ndio muda waoutumia kushare stress zao na watu wengine...

JF hapa wengi tunatumia usernames ambazo sio majina wala utambulisho wetu rasmi nje ya hapa, sasa kwa mtu anayelia lia kwamba stori ni FAKE, je vipi kuhusu jina lako unalotumia hapa jukwaani ambalo nalo ni utambulisho FAKE tu...

Mwandishi yeyote hapa akiandika maisha yake halisi, lazima atatwist baadhi ya matukio kwa nia ya ama kunogesha kidogo stori na kuepusha kujulikana...

Kama stori ni FAKE, yes it might be FAKE then IGNORE...

Kama stori ni REAL, yes it might be REAL then ENJOY...
 
Ila Hassani Killo una mikwara ya kitoto sana! Kwanini inakuuma INSIDER MAN kupendwa na mademu? We umevuliwa ubingwa au ni vp?
 
1. Niandike Epsode zote then nizipost?

2. Ndani ya week niwe napost episode 3?

Option ipi kwenu itafaa?

BY INSIDER MAN

Sehemu 3 ndani ya wiki ni bora zaidi...ili uzi uwe interactive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…