Chakula Kibaya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 689
- 1,562
Unashusha mzigo saa ngapi Mzee.?Ngoja tuone Next Episodes nini kiliendelea ila mpaka tulikofika Episode ya 26 ni Prisca pekee niliye mla.
You're right 100% mimi nina rafiki wa kike ana uchotara wa kijapan anakaa apartment ya $2,000 per month, upanga pale karibu na Palm Beach anafanya kazi kwenye hizi organization za UNHaya mambo mtu kama hayupo kwenye system ya ulaji hawezi yajua
Mimi kuna mshikaji nilifanya nae kazi mwaka 2012 tulikuwa same level economic hata mshahara
Baadae mshahara wake ukaanza kupanda na vyeo na akapata connection kuhama ofice nyingine...na hiyo ofice ina malupu lupu kibao...
Alinipiga gap la hatari...now yupo vizuri saana kiuchuni...ana gari 3 zenye thamna ya 240milion, ana ghorofa ya kuishi...ashajenga apartment yenye ghorofa Goba Goba...kwenye list ya magari imo Range
Hii inamanisha kuna mtu mambo yake yakiwa sawa au akifunguliwa na Mungu...kuhonga milioni moja /3 kwake sio issue
Na maisha yanatofautiana
Mfano mwingine
Hivi mnajua mtu anaueishi apartment zile za upanga za akina Fida Hissein analipa kodi 2,500$ Usd...kwa madafu ni kama 5.8 kwa mwezi....je mtu huyu kwa mwaka anaingiza sh ngapi?? kama kodi ya mwezi tu analipia milion 6
Kuna watu wanamaisha basi tu
Mh? Insider! Shush madini! Tuko standbyINSIDER MAN mkuu nna ombi ndgu yngu kama vip kausha kwanza usiweke muendelezo wiki hizi mbili, miwani yangu ya macho imevunjika na uhakika kuipata hpa mpka kwenye tarehe 25 hivi itakuwa fresh #siojokes
INSIDER MAN mkuu nna ombi ndgu yngu kama vip kausha kwanza usiweke muendelezo wiki hizi mbili, miwani yangu ya macho imevunjika na uhakika kuipata hpa mpka kwenye tarehe 25 hivi itakuwa fresh #siojokes
Ni utani tu mkuu #arostoNo, this is selfish mkuu labda kama umetania ingawaje nimeona umesisitiza kuwa #siojokes.
Ni maoni yangu kuwa katika hili umejifikiria pekeako pasipo kuwafikiria wengine ambao tumekuwa na kiu ya kupata muendelezo, hasa ikizingatiwa siku ya leo ni moja ya siku miongoni mwa INSIDER MAN alizoahidi kuwa anaweka muendelezo.
Kama ishu ni miwani, nashauri kwamba unaweza ku-subscribe kwenye uzi. Then utakapo rekebisha suala hilo utarejea kwenye uzo huu na kuendelea kuanzia pale ul
ipoishia.
Ailiitwa room kufanyanini? Eti akamsaidie Nini,akiwa amelalaje?Kwann umekuwa na hisia au fikra hizo mama edina
Ukimwita ivyo hatasikia , muite hivi INSIDER MANInsider are you coming today?
Insider are you coming today?
[emoji23][emoji23][emoji174]Kuna watu hamko serious mjue, mnaomba picha ya Iryn DM tafadhali[emoji23][emoji23]
Mkuu tupe ya kuzugia hapa wengine hatuna usingiziMwisho wa story nitawapa option kwa watakaotaka kumwona Iryn kuweni humble.
Mh? Mama edina insiderman kakuita baby! Angalia usijeliwa kimasihara Mama Edina insiderman sio mtu mzuri atii!!@😄🤣🤣🤣🤣See you tomorrow baby,
BossMwisho wa story nitawapa option kwa watakaotaka kumwona Iryn kuweni humble.