Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wanaume tunapenda ujinga sana huwezi amini nimefurahi inside Kumpiga mate Lyn 😂😂😂 wakati wote siwajui Ila Nimeijengea hii story video kichwani…
 

Insiiiideeerrr..
Umetisha sana swahiba
Hapo mwisho nimerudia mara 3
 
hahah dawa ya jeuri kiburi #1/2 kivumbi leoo
 
[emoji2]
 
Insiiiideeerrr..
Umetisha sana swahiba
Hapo mwisho nimerudia mara 3
wewe upewe ua moja tu linakutosha, kuna wenzako walirudia kusoma hapo mara 20 na wamepata maua yao mengi tu...wewe umala*a wako bado haujakidhi viwango,ongeza bidii kijana..
 
Insider Man Raper
 
Insider usije ukathubutu kumpa mtu yeyote picha ya Iryn na pia usiitume humu picha yake. pia usije kutoa location ya anakoishi au alikokuwa anaishi au contacts zake kwa yeyote atakayekuomba. Akipata matatizo yeyote wewe unaweza kujumuishwa kwenye kesi. Please don't do that mwache na privacy yake tu usidisclose chochote humu zaidi ya story tu.
 

Insiiiideeerrr..
Umetisha sana swahiba
Hapo mwisho nimerudia mara 3
 
Asipo sikia hili ameisha humu tunachekeana tu. Ila kuna unafki mkubwa sana. Watu hawapendi na watu wana wivu ulio ambatana na chuki kali sana. Talking from experience ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…