Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Asipo sikia hili ameisha humu tunachekeana tu. Ila kuna unafki mkubwa sana. Watu hawapendi na watu wana wivu ulio ambatana na chuki kali sana. Talking from experience ...
Yah nimemtahadharisha ndugu yetu maana mafisi wengi humu. Yeye aendelee tu na story inatosha kumuelezea namna alivyo au anapoishi hapo kijitonyama na kazi zake lakini ibaki hivyo hivyo general asiweke specific location au picha.

Pia Insider usije kudisclose hiyo organisation aliyofanyia mama yake acha hivyo hivyo anonymous. Mpaka sasa uko vizuri tu hujadisclose identity yake kiasi cha watu kupata access au kumjua which is good.

Next episodes please tunasubiri ujue umetuchomesha mahindi sana kuanzia jana
 
Asipo sikia hili ameisha humu tunachekeana tu. Ila kuna unafki mkubwa sana. Watu hawapendi na watu wana wivu ulio ambatana na chuki kali sana. Talking from experience ...

[emoji28][emoji28][emoji28]wewe ulikosea Jana,usirudie kufanya hivyo wenzako wamefanya kama kukukomoa
Kile ulicho kifanya ni utoto na waliokufanyia pia wamefanya upuuzi
 
Niko makini sana mkuu jana heineken zilikuwa zimeanza kukolea ila siwezi fanya huu ujinga.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]wewe ulikosea Jana,usirudie kufanya hivyo wenzako wamefanya kama kukukomoa
Kile ulicho kifanya ni utoto na waliokufanyia pia wamefanya upuuzi
The good news wamepoteza muda wao tu na kunipa namba zao ambazo nitazifanyia kazi mmoja baada ya mwingine
 
Kweli issue ya kuweka picha si nzur labda angeweka half picture isiyoonyesha sura labda kamwa alivyofanyags yake kuonyesha nguo alizonunuliwa na mbostwana labda, pia izo location ajitahid kuzificha watu wasifahamu anaishi wap n.k
 
Sama vizuri acha makasiriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…