Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

**Prisca ni aina ya wale wanawake wanaopenda sana kudekezwa na kupetiwa petiwa, na pia ni aina ya wanawake ambao wakipenda wanapenda kweli.

Sasa mimi wanawake wa dizaini hii siwawezi kwakweli kwenye historia ya maisha yangu. Suala la kumbembeleza na kumdekeza mwanamke kama movie za Kikorea mimi siwezi.**

HAYA NDIO MAAMUZI YA KIUME
 
Kishamba😂
 
Kabisa mkuu mi mwenyewe nimepitia na bado napitia.
 
Insider unapenda hela ila unapenda mihela vidogo. Hauna long run plan ...plan zako zote ni upate hela kesho upite hivi.

Ninge kua mimi ndio wewe ningefanya mipango ya kumbinafsisha irene by any means. Yaani ningecheza karata zote kuhakikisha irene ni wangu na ananitegemea mimi kikila kitu yaani hakuna kitu atafikiri afanye bila kunishirikisha na kwa moto ambao ninge mnogesha nao angejikuta tu ni mjamzito na hatuna jinsi zaidi ya kuendelea kuwa pamoja na kuniheshimu ka mme wake.


Sasa wewe ulikua radhi kumuuza kwa muajemi ili akupe hela za supu ambazo sio constant yaani anakupa leo milioni tana halafu hujui nyingine atakupa lini na anaishia kukuahidi tu kuwa mtafanya biashara [emoji16][emoji16][emoji16]

Wakati huo irene amesha kupa mkataba wa uhakika wa kila mwezi kuvuta milioni 2 Haha ishia hapo tu bado unanafasi ya kumiliki yeye na miradi yake na Mali zake. Wewe unataka uendelee kuwala kimasihala wakina prisca.....bro chance yako ya kuingia kwenye umilionea ukiwa kijana ilikua ni kujimilikisha irene no matter mama junior atafanya nini maana huyo mama j mwenyewe bado humjui vizuri siku akianza kuvuta mpunga wake wake wa uhakika atakuaje.

Yaani ile siku ana financial freedom ndio utajua hujui ...

Na irene angekuambia anakupenda angekua anakupenda ile ukweli kabisa. Ika mama j inaweza ikiwa ni vile hajui atafanyaje cos bado hajagusa hela za uhakika.
 
Hii mindset ndo inafanya watu wasiwe na marafiki, watu wamekaa kimaslah maslah
 
Tamaa mbele, mauti nyuma. Mwamba yupo genuine kabisa na hata hana tamaa na ndiyo maana amejenga imani kubwa kwa watu.
Wewe ni dizaini ya watu ambao hawaaminiki.
 
Tamaa mbele, mauti nyuma. Mwamba yupo genuine kabisa na hata hana tamaa na ndiyo maana amejenga imani kubwa kwa watu.
Wewe ni dizaini ya watu ambao hawaaminiki.
Kwa hiyo Bora amuuze tu rafiki na amcholee ramani ya udhaifu wake kwa watu asio hata wafahamu vizuri kama muajemi. Vipi huyo muajemi angemteka dada wa watu ingekuaje ....?

Hata huyo insider mwenyewe angeanzia wapi kumpata huyo muajemi....?

Yaani ni Bora kama alishindwa kula yeye angemuacha dada wa watu na sio kumuuza.
 
Hii stori imekuwa Kama kusubiria maziwa fresh kusubiria yagande ndio tule ugali.....nilichogundua mwandishi huenda ikawa Ni true story ila iko wazi mwandishi hatakii hii story ifike mwisho kasi ya mwanzo inaendelea kupungua huku mbele tunaona uongo uongo mwingi na maneno mengii yasiyo na msingi ili kujaza episode apate neno la kusema...tukutane week ijayo au sitokuwa mjini...Huyu mwamba msanii Sanaa hata Mimi nishamchoka.....hamna msingi wa story kwenye Kila episode imebaki DIALOGUE TU!!!!
 
Anazingua tu kama vipi asitishe tu chai zake hapa maana kama anabembelezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…